Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Hawa watu wenye blue-black skin tone hawafi kiurahisi namna hiyo. Dude is still out there alive and well and having a good one.
 
Lissu kashakata tamaa ya kuishi maisha ya furaha.
Ndugu zangu,
Kelele zenu za kuweweseka zinawaumbua.
Wewe na wenzio mliyopanga kumwua, lakini hamkufanikiwa, ndio MWAONEKANA dhahiri mwaugua zaidi moyoni, hamna furaha.
Enendeni mkatubu, msamehewe msamehewe DHAMBI ili mpate amani itakayowasaidia kujiepusha na hata magonjwa ya moyo.
AMEN
 
Angalia how composed Mbowe na Zitto wakiwa wanajenga hoja kisha mtazame Lissu. In short Lissu katika uwanja wa siasa is only smart anapoongelea jambo ambalo unataka kulisikia ila kama upo upande tofauti nae hana uwezo kukushawishi kua upande wake.
Yaonekana ulitamani sana afe. Bado yupo mpaka Mungu atakapomchukua.
 
Sasa hilo jambo binafsi sidhani kama hayo wanaomwita kufanya mahojiano wanamuita ili aongee hasira zake binafsi kwa Magufuli.
 
Lissu anapambana na marehemu. Alafu kuna wanaosema marehemu ndo kichaa 😀😀😀.
 
Kinachokufanya useme kafa kwa covid ni nini?
 
Na kuhusu Kenya vp nani alimwambia Magufuli kapelekwa Kenya kwa matibabu?
 
Na kuhusu Kenya vp nani alimwambia Magufuli kapelekwa Kenya kwa matibabu?
Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.
 
Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.
Sawa sawa hapa naweza nikawa naongea na Lissu mwenyewe na inajulikana ndugu yetu Lissu hayupo sawa mbaya wake kafa bila kumpiga hata kofi hili linamsumbua sana ndugu yetu Lissu,na mbaya zaidi watanzania wamejitokeza kwenye msiba kama walivyokuwa kwenye mikutano ya kampeni wakati yeye Lissu kawaambia waandamane watu wamempuuza.

Kuna vitu lazima vikutie uchizi binafsi namuonea huruma Lissu maana kabaki na mihasira yake tu na asipoangalia atakufa nayo.
 

Nimekwambia punguza porojo hapa. Swali la Shaka Ssali ni hili hapa “Ukiwa kama Mwanasheria unaweza thibitisha Rais alikufa kwa Corona?” Nakuuliza kwa mara ya mwisho wewe maana Lisu hakujibu hili swali. Huwezi thibitisha kwa uanasheria,piga kimya Mkuu nitakuelewa pia.
 
Kwa sasa hata Lumumba FC ni irrelevant. Mama Samia hataki wanafiki na wafitini....
Unajaribu kujipa matumaini kwa kujisahaulisha mambo ya msingi kabisa kwamba,

1. Wakati tunampigia kampeni Magufuli tulikua tukifanya hivyo kwa Samia aliyekua msaidizi wake na sasa ni Rais.

2. Samia ambaye ni Rais wa sasa ni mwana CCM.

3. Samia ambaye ni Rais wa sasa hatakwenda kinyume na Ilani ya CCM ambayo ndiyo imemuweka madarakani.

4. Samia ambaye ni Rais wa sasa hawezi tekeleza ilani ya ACT, NCCR wala Chadema.

Hivyo unavyowaita wana lumumba kuwa ni wanafiki na wafitini unamkosea heshima Rais wa sasa kwani naye ni chimbuko la Lumumba pale, ambako ndiko chanzo cha madaraka yake na ndiko anakopatambua kuliko kwingine kokote.

Upinzani mnapodandia gari kwa mbele mfahamu kuna madhara yake. Kaeni mkijua kwamba Rais Samia yupo kutekeleza Ilani ya Chama chake ambacho ni CCM na si vinginevyo.

Kama mna ndoto shindeni uchaguzi na kushika dola sio kutegemea matukio yawabebe. Poleni sana.

NB: aliye mnafiki na mfitini ni wewe maana unadhani labda kwa kupost hapa utafanikisha azma yako inayoongozwa na tabia za kichawi.

Kijana kafanye kazi badala ya kutegemea kupata faraja kwa kuona maanguko ya watu.
 
Lisu mbona kajibu kwa kutumia ushahidi kwa kimazingira kuwa jamaa kafa covid19 au ulitaka aonyeshe pale vyeti vya jiwe kuonesha kuwa ni covid19 Positive?

Unaelewa maana ya kuulizwa kujibu kama Mwanasheria? Hushangai kwanini Shaka alibaki kutikisa kichwa.
 
Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.

Weka hapa hilo gazeti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…