Prof Griff
JF-Expert Member
- Aug 29, 2008
- 6,772
- 5,258
Hawa watu wenye blue-black skin tone hawafi kiurahisi namna hiyo. Dude is still out there alive and well and having a good one.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu zangu,Lissu kashakata tamaa ya kuishi maisha ya furaha.
Yaonekana ulitamani sana afe. Bado yupo mpaka Mungu atakapomchukua.Angalia how composed Mbowe na Zitto wakiwa wanajenga hoja kisha mtazame Lissu. In short Lissu katika uwanja wa siasa is only smart anapoongelea jambo ambalo unataka kulisikia ila kama upo upande tofauti nae hana uwezo kukushawishi kua upande wake.
Isije ikawa mambo ya chizi kuona wengine ndio machizi.Wew na huyo mtoa kauli wote naona madishi yameyumba
Sasa hilo jambo binafsi sidhani kama hayo wanaomwita kufanya mahojiano wanamuita ili aongee hasira zake binafsi kwa Magufuli.Ulitaka amsifie mtu aliyetaka kumuuwa kwa risasi na kumpa ulemavu? Marehemu Kama angemtendea mema Lisu na Lisu angemsema vibaya hapo tungeona Lisu anatatizo tena kubwa tu. Siyo wewe mtu akutetendee mema na mwingine ubaya alafu ukataka aliyetendewa ubaya asifiye Kama wewe uliyetendewa mema hakuna Upumbavu wa namna hiyo.
Kinachokufanya useme kafa kwa covid ni nini?Kaondoka na covid -19. Mfuate kama unaona uchungu ukweli kusemwa! Hili ni muhimu sana kusemwa ili watu wajifunze kutokana na makosa. Kuna mambo mengine hayaitaji kiburi wala ujeuri. Tunaposema kafa kwa covid siyo kama tunafurahia bali tunaonyesha ujweuri ulivyo na gharama mbaya.
Ni kifo chake cha covidKinachokufanya useme kafa kwa covid ni nini?
Na kuhusu Kenya vp nani alimwambia Magufuli kapelekwa Kenya kwa matibabu?Fact: Magulifu aliacha kuonekana kwenye hadhara tangu tarehe 28.02
Fact: Lissu akahoji yuko wapi kwani ana habari za uhakika kuwa ana covid
Fact: Serikali ikiwemo washabiki maandazi kama wewe mkasema ni mzima na anachapa kazi.
Fact: Baadae ikajulikana ni kweli alikuwa mgonjwa kama alivyosema Lissu na amefariki dunia
Therefore: Tutaachaje kumwamini Lissu aliyesema ukweli tangu mwanzoni , tuamini serikali iliyosema uongo tangu mwanzoni?
Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.Na kuhusu Kenya vp nani alimwambia Magufuli kapelekwa Kenya kwa matibabu?
Mungu atazidi kuumbua ushetani. AMENWewe una hoja gani? Yaani kujiita kote kule mtu wa Mungu bado akazikwa kichawi vile?
Kifo cha covid kikoje?Ni kifo chake cha covid
Muuaji aliyetaka kuua katangulizwa ahera na covid. Shetwaaaani!
Sawa sawa hapa naweza nikawa naongea na Lissu mwenyewe na inajulikana ndugu yetu Lissu hayupo sawa mbaya wake kafa bila kumpiga hata kofi hili linamsumbua sana ndugu yetu Lissu,na mbaya zaidi watanzania wamejitokeza kwenye msiba kama walivyokuwa kwenye mikutano ya kampeni wakati yeye Lissu kawaambia waandamane watu wamempuuza.Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.
Fact: Magulifu aliacha kuonekana kwenye hadhara tangu tarehe 28.02
Fact: Lissu akahoji yuko wapi kwani ana habari za uhakika kuwa ana covid
Fact: Serikali ikiwemo washabiki maandazi kama wewe mkasema ni mzima na anachapa kazi.
Fact: Baadae ikajulikana ni kweli alikuwa mgonjwa kama alivyosema Lissu na amefariki dunia
Therefore: Tutaachaje kumwamini Lissu aliyesema ukweli tangu mwanzoni , tuamini serikali iliyosema uongo tangu mwanzoni?
Unajaribu kujipa matumaini kwa kujisahaulisha mambo ya msingi kabisa kwamba,Kwa sasa hata Lumumba FC ni irrelevant. Mama Samia hataki wanafiki na wafitini....
Lisu mbona kajibu kwa kutumia ushahidi kwa kimazingira kuwa jamaa kafa covid19 au ulitaka aonyeshe pale vyeti vya jiwe kuonesha kuwa ni covid19 Positive?
Lissu anapambana na marehemu. Alafu kuna wanaosema marehemu ndo kichaa [emoji3][emoji3][emoji3].
Na kuhusu Kenya vp nani alimwambia Magufuli kapelekwa Kenya kwa matibabu?
Hili la kupelekwa Kenya mboan siyo siri? Alipelekwa na wakashindwa wakasema haiwezekeni tena. Gazeti la Daily Nation liliandika. Kwa vile watanzania hawajui english ni ngumu kujua.