Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 15,835
- 23,776
Sometime mnatetea upumbavu kiasi cha kujidhalilisha.Huyo Taga/Mnyonge mwenzio angeanza kwa kuuliza Lissu anamaanisha mlinzi yupi kafa kwa Covid-19, na siyo kuja na imagination zake za ajabu ajabu kama chizi vile wakati ni mtu timamu ukiachilia mbali ya kuwa ni Taga.
Muulize Lissu acha ulopolopo. Lissu aliposema kwa mara ya kwanza kuwa JPM kazima mlibisha, hili la mlinzi wake naye kutangulia mbele za haki, sio jipya, na Rais hana mlinzi mmoja. Mtafute Lissu akutajie jina kama unalihitaji!
Jana mama kakusahau tena!!.Sasa ni mlinzi yupi aliyekufa na C-19?
Jamaa alisingiziwa kafa kabla ya kifo cha Magufuli, lkn tulimuona kipindi chote cha msiba hadi chato alikuwepo na tumemdiscuss sana hapa JF..walinzi wote wa Magufuli walionyeshwa. Kama ni kweli alikufa basi tuliyemuona atakuwa ghostHahahaha..
Tulia dogo, mbona una panic?
Swali ni kuwa:
Whoever that person is, una hakika kuwa ni mzima??
Wahenga walishasema:
"No research no right to speak.."
Waliposema jiwe katangulia mbele za haki mlibisha hivi hivi
Wapi nimesema ninamuamini? Wanasiasa wanapolumbana wasikilize tu. Tatizo lako ni ushabiki, asiyeishangilia Yanga au Simba basi ni Yanga au Simba, unasahau wapo amboa hawana habari na hizo timu na hata wakikuthibitishia utawakatalia.Na wewe unayeamini maneno ya LISU kuwa kuna mlinzi wa magufuli amekufa na Corona.
UNAHITAJI DAKTARI WA AKILI
Lissu chizi. Yaani hata details za ugonjwa wa Rais ni uongo wa ajabu. Hana hata aibu. Ni lini JPM alikuwa Kenya au India?Sometime mnatetea upumbavu kiasi cha kujidhalilisha.
Kwani mlinzi wa Rais alikuwa ni huyo tu ?!. Yeye mbona hajamtaja jina ila wewe umeleta mpaka picha !!
Odhis *
[emoji2][emoji2]We ndo umesema mkuu, ametaja jina? Tuwe waadilifu
Ni kazi yangu kweli [emoji780]. Corona si kaswende tuionee aibuMuweke picha ya huyo mlinzi anaye zungumziwa na Lissu hahahahaba
muache atoe nyongo yake, we unadhani risasi 16 mwilini ni kazi ndogo!Lissu hafai kabisa.
Na kwenye huu msiba amedhihirisha hilo.Hawezi Kuwa Rais Milele ZOTE ....unafurahia msiba wa Mtu hata kama una chuki nae kwanini uendelee kumzushia muache tu..
Haya bado ni mzima na anachapa kazi ikulu. Furahi kwa sababu anazushiwaLissu chizi. Yaani hata details za ugonjwa wa Rais ni uongo wa ajabu. Hana hata aibu. Ni lini JPM alikuwa Kenya au India?
We jamaa mbona unakuwa mbishi hivyo!Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?
Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?
We kajamaa na wewe ni utopolo