Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Halafu mbele ya maaskofu aisee.... ile video kila saa naiangalia nasema hiiiii!

Ndo maana alikua na mambo ya ajabu sana maana mcha Mungu hangeweza simama madhabahuni akawasuta watumishi wa Mungu...

Mtu wa Mungu kweli asingewatesa maaskofu kiasi kile.

Jamaa alikua mshirikina first class
Yule alikiwa anamtaja taja mungu, hakuwahi kuwa mcha mungu

Kanisani unatimba na ma mwela yanaleta fujo kwa waumini wengine raisi unakua kero kwa waumini mpaka ma padre kisa cheo chako??

Hii nchi ina wajinga wengi na ndio maana jiwe aliona namna pekee ya kushika bongo za watu ni kutumia dhana ya "ucha mungu" na ndio maana hata kwenye speech zake alikuwa anaenda na bible ili watu wamjue hivyo
 
Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....
hiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codes

Tatizo lipo kwenu nyinyi mnaotaka mzi crack hizo codes mnasukumwa kwa mihemko mnajikuta mnataka mpate jibu ambalo nyinyi litawafurahisha
 
Jamaa anakosa weledi sasaivi wa ku challenge serikali amekuwa ana bwabwaja bwabwaja tu umbea kama wakina juma lokole🚶🚶🚶
sikushangai wenge lako ng'ombe nashangaa jinsi unavyoelemewa na ukubwa wa pembe lako
 
Mwambie Lissu kama hawezi kumtaja jina basi anyamaze kuhusu hiyo inshu maana analeta taharuki kwenye jamii. Mwenye ugomvi nae keshatangulia mbele ya haki uko, hivyo sio vizuri kuzushia watu vifo na kama kweli kafa basi ataje jina maana hakuna kosa lolote kama ni kweli.
Sasa kwanini mumzushie kuwa yule mlinzi aliyekuwa anamzungumzia alimaanisha huyu ambaye mtoa mada anamzungumzia?
 
Jitoe ufahamu tu lakini MOLA anafahamu dhamira yako
Ndugu acha kumtaja taja Mola huku, huna utakatifu au usafi huo wa kuni lecture me kuhusu MUNGU/ MOLA. Mnajikutaga some smart perfect fellas.
Ww unajua dhamira ya Lisu huko Belgium, tormentors of Congo and patrice lumumba, ulijua dhamira yake lisu kwenye saga ya acacia na upande alokuwa anatetea na upande ulioshinda. Etc etc.
Buda huongei na layman hapa, toeni boriti jichoni mwenu kwanza.
 
Mungu wa MBINGUNI anafahamu dhamira yako moyoni mwako dhidi ya watu wake. Nakusihi tenda HAKI tofauti na hivyo MOLA atakutendea HAKI
 
Wewe na yeye wote ni wale wale kwa maneno yako unalimsha maneno kwamba kasema ni huyu unayesema wewe wakati hapo hapo hauna uhakika kama ndio yeye anayemsema
 
hiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codes

Tatizo lipo kwenu nyinyi mnaotaka mzi crack hizo codes mnasukumwa kwa mihemko mnajikuta mnataka mpate jibu ambalo nyinyi litawafurahisha
"The guy you see behind him all the time"
 
Sometimes Lissu anaargue kama sio Lawyer. No evidence, no right to say things in public
 
hiyo ni perception yako mkuu, lisu hajaongea direct ye katoa hidden codes

Tatizo lipo kwenu nyinyi mnaotaka mzi crack hizo codes mnasukumwa kwa mihemko mnajikuta mnataka mpate jibu ambalo nyinyi litawafurahisha
We unayejiita scars nawe ni kama lisu tu shaka sali kamshangaa na pl lumumba naye kamshangaa wewe ni nani ukute ata kipindi ukukiangalia maana generally wasikilizaji wote dunian wamepima akili za lisu zilivyo mpaka kapeea ushauri wa bure na lumumba yule mkenya kwamba asipojiangalia atapoteza ata wafuasi wake kwasababu hasira ndo zinamdrive
 
Lissu ni mwehu kama wehu wengine kilichomsaidia tu ni kwamba aliwahi kufika shule.
 
Back
Top Bottom