Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Kwani huyo tu ndiye mlinzi mweusi wa mwendazake?
Tuleteeni mnaomsema nyinyi na ndio shida ya kuokoteza taarifa za Twitter maana hata yule malaika wenu aliwahi kumtaja huyu jamaa kwa kumuita dubwana.
 
We unayejiita scars nawe ni kama lisu tu shaka sali kamshangaa na pl lumumba naye kamshangaa wewe ni nani ukute ata kipindi ukukiangalia maana generally wasikilizaji wote dunian wamepima akili za lisu zilivyo mpaka kapeea ushauri wa bure na lumumba yule mkenya kwamba asipojiangalia atapoteza ata wafuasi wake kwasababu hasira ndo zinamdrive
Hata mimi nakushangaa kwa jinsi ulivyoshangazwa na lumumba akimshangaa lisu wakati uhalisia unajulikana jiwe alikuwa ni raisi wa namna gani

Mimi naangalia hoja iliyowekwa mezani siangalii watu wanamaoni gani juu ya hoja hiyo.

Kwani ni uwongo kwamba jiwe haku criticize ushauri wa kisayansi? Kwani hoja ya lisu aliyosema kua jiwe alikandamiza haki za binadamu na uvunjifu wa sheria ni uwongo?
 
That's paradox statement, you can't disprove him by referring to your imaginary guy

IMG_0126.jpg
 
Back
Top Bottom