Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Kuna wale binadamu ambao kila mtu amewahi kukutana nao. Wao kila kitu wanajua wao na hawaamini kama kuna mtu anajua chochote zaidi yao. Mfano, Anaweza kuwa ni mwanasheria lakini anaweza kujaribu kumfunika Nuclear physicist kwenye mada kuhusu nuclear physics . Kwangu mimi, Lissu ndio binadamu kama hao.
Ukihoji hili, utaulizwa, wewe umewahi kupigwa risasi 16?
Sasa sijui wale waliopigwa na kupona atomic bomb tuwaseemeje? Basi wale ndio walitakiwa wawe marais wa Japan au Dunia nzima kabisa!
 
Ubongo wa Lissu unatumia MS-DOS program
Nina uzoefu wa milipuko/risasi.
Unajua ile milio hua inawehusha akili same tame hata ukitulia sehemu alafu ukumbuke hapo hapo akili nayo unacheza
 
Kuna wale binadamu ambao kila mtu amewahi kukutana nao. Wao kila kitu wanajua wao na hawaamini kama kuna mtu anajua chochote zaidi yao. Mfano, Anaweza kuwa ni mwanasheria lakini anaweza kujaribu kumfunika Nuclear physicist kwenye mada kuhusu nuclear physics . Kwangu mimi, Lissu ndio binadamu kama hao.
Ukihoji hili, utaulizwa, wewe umewahi kupigwa risasi 16?
Sasa sijui wale waliopigwa na kupona atomic bomb tuwaseemeje? Basi wale ndio walitakiwa wawe marais wa Japan au Dunia nzima kabisa!

Mradi mtekelezaji wa tukio kafa sie tumepoa....Suluhu anatosha
 
Ni mlinzi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa akimzungumzia?
Nionavyo mimi, hili swali ndio hasa lingekuwa topic yako. Maana hata mimi, kati ya walinzi wa JPM waliokuwa wanaonekana nae, sikumbuki kuona mweupe.

Ila pia nakubaliana na wewe kuwa kumzushia mtu yoyote kifo ni jambo baya.

Nakumbuka picha ya huyo mlinzi ili trend (nafikiri uzushi huo ulianzia kwa yule 'jamaa' yetu wa twitter) kuwa amefariki, lakini ilikuja kujulikana ni uzushi baada ya huyo mlinzi kuonekana msibani. Pengine Mh Lissu hakupata update? Au yawezekana ni kweli mlinzi mmojawapo alifariki? Hasa kwa kuwa Covid19 inazoa tu, haitizami status ya mtu.
 
Kufa au kutokufa kwa aliyekuwa mlinzi wa Rais kunatusaidia nini sisi kama Watanzania, hata kama kifo kiwe ni cha C-19...

Sent from my Nokia 5.4 using JamiiForums mobile app
 
Hao Watatu ni weupe na huyo mwingine ni maji ya kunde

Bado hujaweza kutegua kitendawili cha lisu Kumbuka lisu alisema mweusi
Hamna cha kitendawili, mwenye kutuhumu ndio mwenye zigo la kuthibitisha , inaitwa “burden of proof” na sio Nyani Ngabu au yoyote yule. Bila hivyo kuitwa mzushi ni halali.
1617262015866.png
 
Mimi sio mwanasheria, lakini najiuliza je kama kweli Lissu anamuongelea huyo jamaa yako, na kama ni kweli yupo hai ... Je sheria ya Tanzania inaruhusu mtu aliyetenda kosa akiwa Ubelgiji (nchi nyingine) kushtakiwa katika Mahakama za Tanzania. Je atakuwa amevunja sheria za nchi ipi, na atashtakiwa katika mahakama za nchi gani?

Je kama kweli kafariki huyo jamaa (ambaye wote hatujui kama ni yeye anayeongelewa) Lissu atakuwa na kosa gani? Isitoshe kwa sheria za Tanzania Mahakama/Mshtaki ndio watapaswa kuthibitisha kwamba Lissu anamuongelea huyo jamaa na si Lissu ndio athibitishe kwamba hamuongelei huyo jamaa

Kwenye hili suala kuna KAMA, KAMA ... Kuna kama nyingi sana ambazo kwenye sheria hazina nafasi
 
Hamna cha kitendawili, mwenye kutuhumu ndio mwenye zigo la kuthibitisha , inaitwa “burden of proof” na sio Nyani Ngabu au yoyote yule. Bila hivyo kuitwa mzushi ni halali.
View attachment 1740211
Kosa la kwanza ni wewe kuweka picha ya mtu bila kuwa na uthibitisho kwamba ndiye mlengwa aliyekusudiwa

Una uthibitisho gani kwamba huyo pichani ambaye mtoa mada kamuweka ndiye alikuwa anazungunziwa na lisu?
 
Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?

Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?

We kajamaa na wewe ni utopolo
Tatizo nyie kila kitu mnataka kubadili maana. Kwenye hili Lissu alikuwa very direct na maelezo yake ni kana kwamba kama Mtangazaji anamjua JPM lazima amjue huyu ukitoa yule mwanajeshi! Very direct, hivi hadi ujinga kama huu mnateteaga nini? [emoji56]
 
Back
Top Bottom