Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Ubongo wa Lissu unatumia MS-DOS programHuyo jamaa yupo mbona tulikuwa nae msibani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubongo wa Lissu unatumia MS-DOS programHuyo jamaa yupo mbona tulikuwa nae msibani
So what!
Nina uzoefu wa milipuko/risasi.Ubongo wa Lissu unatumia MS-DOS program
Kuna wale binadamu ambao kila mtu amewahi kukutana nao. Wao kila kitu wanajua wao na hawaamini kama kuna mtu anajua chochote zaidi yao. Mfano, Anaweza kuwa ni mwanasheria lakini anaweza kujaribu kumfunika Nuclear physicist kwenye mada kuhusu nuclear physics . Kwangu mimi, Lissu ndio binadamu kama hao.
Ukihoji hili, utaulizwa, wewe umewahi kupigwa risasi 16?
Sasa sijui wale waliopigwa na kupona atomic bomb tuwaseemeje? Basi wale ndio walitakiwa wawe marais wa Japan au Dunia nzima kabisa!
Aendelee na ujinga wake aone kama Suluhu atamshughulikia na upande wa khangaMradi mtekelezaji wa tukio kafa sie tumepoa....Suluhu anatosha
Nionavyo mimi, hili swali ndio hasa lingekuwa topic yako. Maana hata mimi, kati ya walinzi wa JPM waliokuwa wanaonekana nae, sikumbuki kuona mweupe.Ni mlinzi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa akimzungumzia?
Aendelee na ujinga wake aone kama Suluhu atamshughulikia na upande wa khanga
Anatuletea hasira zake za kikekikeTundu Lissu anaelekea kuharibu sasa.
Hajui kitu huyo bora kuachana naeLissu na samia wanaelewama vzr tu ni kama Mama na mwana..kalaghabaho
Hamna cha kitendawili, mwenye kutuhumu ndio mwenye zigo la kuthibitisha , inaitwa “burden of proof” na sio Nyani Ngabu au yoyote yule. Bila hivyo kuitwa mzushi ni halali.Hao Watatu ni weupe na huyo mwingine ni maji ya kunde
Bado hujaweza kutegua kitendawili cha lisu Kumbuka lisu alisema mweusi
Kosa la kwanza ni wewe kuweka picha ya mtu bila kuwa na uthibitisho kwamba ndiye mlengwa aliyekusudiwaHamna cha kitendawili, mwenye kutuhumu ndio mwenye zigo la kuthibitisha , inaitwa “burden of proof” na sio Nyani Ngabu au yoyote yule. Bila hivyo kuitwa mzushi ni halali.
View attachment 1740211
Tatizo nyie kila kitu mnataka kubadili maana. Kwenye hili Lissu alikuwa very direct na maelezo yake ni kana kwamba kama Mtangazaji anamjua JPM lazima amjue huyu ukitoa yule mwanajeshi! Very direct, hivi hadi ujinga kama huu mnateteaga nini? [emoji56]Mwenzio kauliza swali wewe ndio unakuja na assumptions zako. Mbona Alipo Rais kuhusu whereabouts ya Magufuli mlimuona hamnazo mwisho ilipodhihirika mlitokomea kusikojulikana?
Mlinzi mweusi ni huyo tu? Je mmemuona leo?
We kajamaa na wewe ni utopolo