Tundu Lissu amzushia kifo mlinzi huyu wa Rais Magufuli?

Nani mwingine? Shida ya kumchukia sana mtu na Hakuna unaloweza kumfanya, linakufanya uwe mtumwa wake. Kiakili na hata kimatendo.
TL hana namna ila kusahau yaliyopita. Anaweza kabisa kuangalia namna ya kuanza upya mambo. Akiendelea kujinasibu kwa kumtusi JPM ambaye ameshatangulia mbele ya haki, atageuka mnara wa chumvi muda sio mrefu
Hebu jaribu kunusurika kuuawa, halafu tuone utampenda kiasi gani muuaji wako
 
NI KWELI KWENYE SECURITY DETAIL YA JPM KUNA MLINZI ALIFARIKI SIKU CHACHE TU KABLA AU BAADA YA KIJAZI ....NA WAKATI AKIUMWA JPM MWENYEWE ALIENDA KUMTEMBELEA PALE EMMILIO MZENA ...MAJINA YAKE YANA INITIAL AM ....LAKINI SIO HUYU ...TUSEME SOURCE ZAKE ZIME MISINFORM ....
At least wewe ungefunga mjadala tofauti na watetezi kuwa hajachemka! Bavicha siku hizi na Lumumba fc tofauti ni kama hakuna ...
 
Lissu hafai kabisa.
Na kwenye huu msiba amedhihirisha hilo.Hawezi Kuwa Rais Milele ZOTE ....unafurahia msiba wa Mtu hata kama una chuki nae kwanini uendelee kumzushia muache tu..
Sukuma Gang Bana...
 
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.

Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake dhidi ya Rais Magufuli.

Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!

Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.

View attachment 1739998

Hii picha hapa chini ni baada ya Magufuli kufariki. Hapa walikuwa kanisani [nadhani ni pale kwa Mtakatifu Petro].
View attachment 1739999
Huyu jamaa mpaka kule Chato nilimuona [kama sijakosea].

Sasa, endapo ni kweli amekufa [iwapo Lissu alimaanisha ni huyu], basi jamaa atakuwa amekufa baada ya tarehe 26, Machi 2021.

Lissu kasema “his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Msikilize mwenyewe ili usiseme labda namzushia au napotosha alichokisema.

Video ya mahojiano ni ndefu. Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 21:10 mpaka 21:36.

Tundu Lissu amechanganyikiwa? Ni nani aliyemwambia kuwa huyo jamaa [kama ndo yeye anayemzungumzia] kafa? Na amekufa lini?

Tuliokuwa tunafuatilia msiba wa Magufuli kwenye runinga tulimuona jamaa. Picha zake nyingi tu za wakati wa msiba zipo mtandaoni na hata humu JF zipo!

How can Tundu Lissu say this so confidently?

Where does he get his information from?

I don’t know about you guys but this is slander.

If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.

I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.

Calumniating people’s deaths is not cool.

Hello Sir Ngabu!
Sijasoma comments zote za wadau lakini kwa chache nilizopitia ninachokiona hapa ni Ushabiki usio na mantiki unaoletwa na wadau wanaompenda na kumwamini sana Tundu Lisu,Ukweli unabaki palepale Umejenga hoja nzuri sana kuhusu Mahojiano ya Shaka Ssali na Tundu Lisu.

Nilichokiona ni Uzushi mtupu wa Bwana Tundu Lisu - kwa sababu huyu ndugu yetu alikuwa anamchukia sana Marehemu na kumtuhumu mambo mengi mno.

Mlinzi wa Rais Kwa Unasibu wake - Mweusi anasimama nyuma ya Rais na wala sio ADC (The military man kama alivyosema).Labda anamuongelea mlinzi mwingine wa Rais ambaye husimama nyuma ya Rais na haonekani.

Wote tulioshuhudia msiba kupitia vyombo vya Habari, wote ambao Tundu amewagusia, wanaosimama nyuma ya Rais walikuwepo Msibani mpaka kwenye mazishi Chato,labda alikufa baada ya Mazishi - halafu na sisi tumuamini Tundu Lisu ambaye alihudhuria Msiba wa Bw. Wilfred Mwango akiwa Ubeleji.???

Hoja ingine ni Kwamba Hayati Magufuli alikufa kwa Covid - 19 huo pia ni uzushi wenye lengo la kuwafurahisha ma sponsor wake.
Hakuna Uthibitisho huo,Anaongea utadhani sio mwanasheria asiee. - Hana ushahidi kabisa.

Yes najua wote tuna m-sympathize Lisu kwa yale yaliyomkuta lakini si kwa kumuunga mkono kila anachokisema kuwa ni Kweli na Hakika (Hapo ndio tunakosea).

Ameeleza alichoweza kueleza lakini hakuna alichosema kigeni ukilinganisha na chapisho lake la Twitter. (A Talk of Hate and Rage).

Ameumizwa sana Tundu Lisu hilo liko wazi - Asiwaumize wengine ambao hawahusiki na Madhira yaliyomkuta.Mgomvi wake na ijara yake iko mbele ya Mungu - UONGO anaousambaza utamharibia Wasifu wake wa kisiasa kama anapenda kuja kuwa Kiongozi wa Nchi hii.

Asalaam Aleikum.
 
HIVI JF KUNA LIGI YA NANI KAFA NANI HAJAFA! MBONA KUNA KAMA USHABIKI
HIVI NYIE MEMBERS HUMU NDG ZENU JAMAA ZENU HAWAFIIII
hebuu ondoeni bullshyt hii ya mambo ya kufakufaaa mnashabikia utafikiri watu wa ndondo

Ova
 
Give marks how much out of [emoji817] did Tundui Lissu he score from Shaka's interview vs fundi Lissu allegation

Jpm kaua demokrasia. 10%. ____
Jpm kaua uhuru wa habari 10%. ____
Jpm haonekani 10%. ____
Mlinzi kafa. 15%. ____
JPM mgonjwa 15%. ____
JPM kafa. 30% ____
JPM kajenga Chato. 10%. ____
 
Hao Watatu ni weupe na huyo mwingine ni maji ya kunde

Bado hujaweza kutegua kitendawili cha lisu Kumbuka lisu alisema mweusi

Hahahaha hawa ndio waliokuwa walinzi wa magufuli kale mchicha kumbe mnapewa taarifa wala hamjui lolote hahaha mlinzi anayesemwa na Lissu yupo hapo hahaha
IMG_0126.jpg
 
Comments zote humu hakuna aliyeelezea chanzo cha hasira za Tundu Lissu. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kudindisha tena baada ya zile risasi,Jogoo haliwiki. Kwa wanaume mliopo JF ambao unajua vizuri utamu wa K unadhani mtu aliyesababisha wanawake uanze kuwaona kama madume utamchukia kiasi gani!?.. kwahiyo msimshangae sana Lissu. Maisha yameshakosa maana kabisa. Ila tulimwambia asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Hata Kama JPM kafa Ila na yeye JOGOO halisimami tena. Ukikuta ni kweli alidokolewa na Amsterdam usishangae.
 
Hebu jaribu kunusurika kuuawa, halafu tuone utampenda kiasi gani muuaji wako
I will never make that person my agenda. He can remotely control me to my grave for no reason. What has happened, happened. He should have all the reasons to be positive and move on.
 
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.

Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake dhidi ya Rais Magufuli.

Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!

Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.

View attachment 1739998

Hii picha hapa chini ni baada ya Magufuli kufariki. Hapa walikuwa kanisani [nadhani ni pale kwa Mtakatifu Petro].
View attachment 1739999
Huyu jamaa mpaka kule Chato nilimuona [kama sijakosea].

Sasa, endapo ni kweli amekufa [iwapo Lissu alimaanisha ni huyu], basi jamaa atakuwa amekufa baada ya tarehe 26, Machi 2021.

Lissu kasema “his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”

Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Msikilize mwenyewe ili usiseme labda namzushia au napotosha alichokisema.

Video ya mahojiano ni ndefu. Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 21:10 mpaka 21:36.

Tundu Lissu amechanganyikiwa? Ni nani aliyemwambia kuwa huyo jamaa [kama ndo yeye anayemzungumzia] kafa? Na amekufa lini?

Tuliokuwa tunafuatilia msiba wa Magufuli kwenye runinga tulimuona jamaa. Picha zake nyingi tu za wakati wa msiba zipo mtandaoni na hata humu JF zipo!

How can Tundu Lissu say this so confidently?

Where does he get his information from?

I don’t know about you guys but this is slander.

If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.

I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.

Calumniating people’s deaths

Yaani Lijamaa Lako Ulilolipigania Limekufa Yaan.

Limashatangulia wherever it is that they tanguliaring
 
Yaani Lijamaa Lako Ulilolipigania Limekufa Yaan.

Limashatangulia wherever it is that they tanguliaring.
Comments zote humu hakuna aliyeelezea chanzo cha hasira za Tundu Lissu. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kudindisha tena baada ya zile risasi,Jogoo haliwiki. Kwa wanaume mliopo JF ambao unajua vizuri utamu wa K unadhani mtu aliyesababisha wanawake uanze kuwaona kama madume utamchukia kiasi gani!?.. kwahiyo msimshangae sana Lissu. Maisha yameshakosa maana kabisa. Ila tulimwambia asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Hata Kama JPM kafa Ila na yeye JOGOO halisimami tena. Ukikuta ni kweli alidokolewa na Amsterdam usishangae.
 
Nenda zako, kwani kufahamu Rais aliugua corona ni mpaka uwe daktari wake? Acheni ukale huo, corona imefyeka kwa vile aliidharau mtuyeyote pale Ikulu ataku dhibitishia
Mkewe na walinzi wake hawakuidharau ndio maana hstuoni kuumwa wala waliyokufa?
 
Comments zote humu hakuna aliyeelezea chanzo cha hasira za Tundu Lissu. Kwa mujibu wa ndugu zake wa karibu ni kuwa Tundu Lissu hawezi kudindisha tena baada ya zile risasi,Jogoo haliwiki. Kwa wanaume mliopo JF ambao unajua vizuri utamu wa K unadhani mtu aliyesababisha wanawake uanze kuwaona kama madume utamchukia kiasi gani!?.. kwahiyo msimshangae sana Lissu. Maisha yameshakosa maana kabisa. Ila tulimwambia asiyefunzwa na mama yake hufunzwa na ulimwengu. Hata Kama JPM kafa Ila na yeye JOGOO halisimami tena. Ukikuta ni kweli alidokolewa na Amsterdam usishangae.

Yaani Jamaa Kafa Aisee. Imagine.

Daah. Kama Utani Yaani Ila Kafa saa Hivi wadudu wanashambulia Hatari.

Mambo ya Kusimamisha sina Uhakikà sina Ila Kufa Jamaa Kafa na Nilienda Kirumba Kumshangaa.
 
Back
Top Bottom