UHURU JR
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 16,543
- 7,880
Sasa kama mwenyewe Lissu kaishia kusema tu kwamba mlinzi wa Magufuli kafa bila kumtaja na huku anajua walinzi wako wengi alikuwa anataka sie tuelewe vp? tutajuaje kwamba anachokisema Lissu ni kweli au sio kweli?Kwani Rais Marehemu Magu, alikuwa na mlinzi mmoja tu? Hata kama akataja rangi ya ngozi je, mwenye rangi hiyo alikuwa mmoja tu?