Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
hivi bado kuna watu wanamchukulia serious kabisa huyu jamaa anayeitwa tundu lissu 😅😅😅😅
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijaweka picha yoyote mimi...Mkuu uko sawa kweli?Kosa la kwanza ni wewe kuweka picha ya mtu bila kuwa na uthibitisho kwamba ndiye mlengwa aliyekusudiwa
Una uthibitisho gani kwamba huyo pichani ambaye mtoa mada kamuweka ndiye alikuwa anazungunziwa na lisu?
Shabiki maandazi wewe. poleThat's paradox statement, you can't disprove him by referring to your imaginary guy
Kwani huyo jamaa ndio wewe nini? Mbona una uhakika sana, wewe ulimuona mwisho tarehe 26 unajua leo tarehe ngapi? Suala la kifo ni sekunde tu, inawezekana ikawa jana au juzi jamaa karudisha namba, mimi sijui lakini ni maoni tu.Hata kama hajataja jina. Maelezo aliyoyatoa yanaelekeza kwa huyo jamaa.
Lissu ni mropokaji mno.
Ulitakiwa upate hilo jina kabla ya kupost, sisi ndio tukuulize wewe mleta taarifaNi mlinzi yupi sasa ambaye Lissu alikuwa akimzungumzia?
Nami nimeyatazama mahojiano ya Tundu Lissu na Shaka Ssali kwenye kipindi cha Straight Talk Africa kirushwacho na runinga ya Voice of America.
Bw. Lissu kaongea mambo mengi. Na kama kawaida yake kila apatapo wasaa au fursa ya kufanya hivyo, kwenye mahojiano haya na Shaka, katema nyongo yake dhidi ya Rais Magufuli.
Ila kilicho kamata uangalifu wangu ni madai yake yeye Lissu kuwa eti yule aliyekuwa mlinzi wa Rais Magufuli, naye kafa kwa C-19!
Naamini alikuwa anamzungumzia huyu jamaa. Jamaa ambaye ali stand out kati ya waliokuwa walinzi wa marehemu.
View attachment 1739998
Hii picha hapa chini ni baada ya Magufuli kufariki. Hapa walikuwa kanisani [nadhani ni pale kwa Mtakatifu Petro].
View attachment 1739999
Huyu jamaa mpaka kule Chato nilimuona [kama sijakosea].
Sasa, endapo ni kweli amekufa [iwapo Lissu alimaanisha ni huyu], basi jamaa atakuwa amekufa baada ya tarehe 26, Machi 2021.
Lissu kasema “his security officer...the guy that you see...the dark guy that you see behind him all the time...is dead”
Lakini kwa nini tuandikie mate wakati wino upo? Msikilize mwenyewe ili usiseme labda namzushia au napotosha alichokisema.
Video ya mahojiano ni ndefu. Kwa kuokoa muda, anzia dakika ya 21:10 mpaka 21:36.
Tundu Lissu amechanganyikiwa? Ni nani aliyemwambia kuwa huyo jamaa [kama ndo yeye anayemzungumzia] kafa? Na amekufa lini?
Tuliokuwa tunafuatilia msiba wa Magufuli kwenye runinga tulimuona jamaa. Picha zake nyingi tu za wakati wa msiba zipo mtandaoni na hata humu JF zipo!
How can Tundu Lissu say this so confidently?
Where does he get his information from?
I don’t know about you guys but this is slander.
If I were the guy [don’t know his name], I’d be lawyering up right now, even though Lissu didn’t specifically mention his name, but in my view, the description he gave is sufficient enough to know who he was talking about.
I don’t know much about Tanzanian laws with regards to defamation and slander, but if I were the guy, I’d shoot my shot and sue the hell out of him.
Calumniating people’s deaths is not cool.
Halafu hilo neno nyie nyie mimi na nani? Mbona una hasira sana?Tatizo nyie kila kitu mnataka kubadili maana. Kwenye hili Lissu alikuwa very direct na maelezo yake ni kana kwamba kama Mtangazaji anamjua JPM lazima amjue huyu ukitoa yule mwanajeshi! Very direct, hivi hadi ujinga kama huu mnateteaga nini? [emoji56]
Kwani huyo tu ndiye mlinzi mweusi wa mwendazake?
Wewe una chuki binafsi na lissu. Ulimtweza sana alipopigwa risasi, i cant forget those commentsAnahitaji na msaada wa kisaokolojia.
Anaweza akawa ana trauma kutokana na yaliyomkuta.
Lisu ana hasira sana kiasi kwamba kila hoja anayotoa anaitoa kulinagana na hasira zakeUkweli Lisu anahitaji ushauri, mengi anayoongea yantia ukakasi hasa ukichukulia yeye ni Raisi tunayemtegemea miongoni mwa wapinzani. Lugha anayotumia haikumpasa yeye aitumie ila wahuni wa mitaani. Mimi najua Lisu aliumizwa sana na hata ningekuwa mimi ningeumia ila kwa kitendo cha kumuacha akarudi na kugombea Uraisi na kupewa ulinzi wakati wote wa kampeni kwangu mimi ilikuwa ni watawala kujirudi kinamna na kujutia matendo yao ingawa ningumu kusema hadharani. Lisu amepata muda wa kutosha kuachilia hasira na kusamehe kwani Mungu ameshaingilia kati na hakuna sababu sasa ya kuendelea kuisema maiti ambayo haisikii tena. Namuomba Lisu popote alipo asamehe na kuanza upya kwani kama Mungu asemavyo Warumi 12:19 - kisasi ni chake Mungu.
Mliokaribu na Lisu msaidieni kiunasihi atulie kwani anapigana vita ambayo Mungu ameshamshindia.
Lisu kinachomsumbua ni saikolojia yake haiko vizuriTundu Lisu ni mgonjwa ila pia ana matakataka mengi yanamfuatilia sana na yanakubaliana na kila asemacho makondoo
Mapopoma ya lisu yanapiga kelele humu ila ukweli wa alichosema Lisu unajulikana na lisu shida yake iko kwenye saikolojia.mabishano mengi ili kurefusha tu uzi lakini kila mwenye utimamu kichwani kaelewa
Chawi lileHahaha jamaa alikua mkuu wa mambo ya giza kumbe!!
Wee...!!! Inamaana kuna video...??Mkuu ile vidio hukuiona? Alivyoviringishwa kwenye kile kigozi?
Shida ya Lisu ni saikolojia!Maelezo ya Lissu ni dhahiri kamaanisha huyo jamaa! Hata mimi nimemshangaa sana. Tena akasisitiza sio yule mwanajeshi bali yule mweusi sana pande la mtu anayesimama pia karibu na JPM! Huyu jamaa ipo shida mahali ....