that can not be taken as an excuse. please learn to speak english.
Huo ujumbe ni mwiba kwa MATAGA hivyo ni bora wahakikishe haujadiliwi ingawa wanajidanganya kwani hawawezi kututoa nje ya reli.Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.
Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"
Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.
Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"
Mara kadhaa nimeandika humu hivi:Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.
Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.
Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
Huo ujumbe ni mwiba kwa MATAGA hivyo ni bora wahakikishe haujadiliwi ingawa wanajidanganya kwani hawawezi kututoa nje ya reli.
Nielezee kwa kiswahiliAya tatu za mwisho zimebeba ujumbe muhimu sana.
una milengo ya kichama ww jamaa !!?Mwalimu Betrayed Uhuru!
Kwa maneno haya pia kanifanya nicheke sana:
"...Even the increase in jailhouse, remand prison and police stations counts as progress according to this paradigm "
My conclusion:
Tundu Lissu is to smart to live safely and peacefully in this country so he better ramains abroad for his safety.
sidhani kama watanzania wanaojua kusoma na kuandika kiswahili wanazidi 10%.....
Sio kila anayetofautiana mawazo na mnachowaza atakuwa CCM.....anaweza kuwa Chauma, TLP, ACT, CUF nk..
Pamoja na akili zao wanatawaliwa na CCMsasa kama MATAGA wenyewe hiyo lugha hawaijua, uzi unaanzaje kuwa mwiba kwao...hii nchi wanaojua kienglish ni CDM na ndio pia waliosoma maana tumeambiwa ili ujuwe hiko kienglish lazima uwe umesoma, hii nchi waliosoma na wenye akili ni CDM...
Umekuja na yako!una milengo ya kichama ww jamaa !!?
kamwe huwezi kuwa mwanademokrasia you are too emotional
Mimi naomba niwe mkweli tu,Tanzania will
Hii ndio akili ya Ma-CCM!Mimi naomba niwe mkweli tu,Tanzania will
never be safe and secure as long as we have the likes of Lissu,something drastic needs to be done.
Tundu Lissu is entitled to his opinion. Yaana ana haku ya kutoa mawazo yake. Nimeiisoma yote kikubwa anaponda hotuba ya Rais SSH kuwa imetaja maendeleo ya mabarabara, hospitali na mashule na magereza.
Mimi ni kati ya watu waliolaani sana kushambuliwa kwa Lissu na Kikundi cha Makonda kwa amri ya Magufuli. Nimeandika sana humu kuwa ulikuwa UNYAMA wa hali ya juu.
Lakini sikubaliani na Lissu kwa aliyoyaandika hapa. Lissu anahitaji tiba ya KISAIKOLOJIA baada ya kupata tiba ya majeraha ya risasi 16. Mtu anayetarajia kuomba kura za uRais hapaswi kubeza maendeleo tuliyoyapata kwa miaka 60.
Mimi naomba niwe mkweli tu,Tanzania will
never be safe and secure as long as we have the likes of Lissu,something drastic needs to be done.
Ignorance implies Poverty and Poverty implies Fear and Fear implies violence.Mimi naomba niwe mkweli tu,Tanzania will
never be safe and secure as long as we have the likes of Lissu,something drastic needs to be done.
something drastic needs to be done.
Semeni lolote,lakini huu utabaki kuwa ukweli.Foreign governments are using Lissu and others like him to destabilize our country,and the sooner we realize this the better.Hii ndio akili ya Ma-CCM!