Tundu Lissu: An Independence Day Message to The People of Tanzania

I have noticed that you are a greatest conspiracy theoretist in this Jf .
I am a great mind so I can connect the dots.I also do not believe anything I am told,nakifanyia postmortem.Mimi sio Zombie.
 
Lugha iliyoenda shule ila aitumie katika kuitangaza Tz kwa mazuri. Asome falsafa za Machiavelli ili ajue maana ya uongozi.
 
Lugha iliyoenda shule ila aitumie katika kuitangaza Tz kwa mazuri. Asome falsafa za Machiavelli ili ajue maana ya uongozi.
Hizi ndizo political theories za Machiavelli: principles advocating a style of government in which political expediency is placed above morality, and instead craft and deceit are used to maintain the authority and carry out the policies of a ruler.Sasa haya ndiyo unayotaka wana siasa wafanye?
 
I am a great mind so I can connect the dots.I also do not believe anything I am told,nakifanyia postmortem.Mimi sio Zombie.


You always connect no dots or you make your own dots and connect by yourself for yourself.🤣
 
I strongly concur.
 
There's no context to justify authoritarianism.
 
Umenena vyema. Kwake miaka 60 hakuna lolote zuri analoliona. Hata hao wazungu wanamshangaa sana.
 
Kwa hiyo kwa mawazo yako, wote tunaoishi Tanzania hatuko smart? Huko nje ndiko wanakoishi watu smart? Una inferiority complex ya juu sana
 
Kwan siku hizi Tanzania lugha imebadilishwa jamani au Mimi sio mtanzania?
 
ni ujinga kuwa na diploma au degree halafu hujui kingereza.

kwa kimatumbi tunasema "it's nonsense to have a diploma or degree then you can't speak/read the english language.
"Hatusomi kingereza, Bali tunatumia kingereza kusomea tunachosomea"
Kwa hiyo kutuambia ukiwa na degree au diploma unakuwa unajua kingereza huo ndo ujinga wenyewe na wala Hilo sio hakikisho kwamba ukifika level hizo basi kingereza unakuwa unajua kabisa."

TURUDI KWA LISSU
Huo ujumbe alioandika hakulenga kutuandikia sisi watanzania wote, lakini alichagua makundi baadhi ya watanzania na pia labda alilenga iwe rahisi Kwa umoja wa mataifa au nchi za nje kuelewa na wala sio mtanzania kama Mimi nilieshia darasa la Saba.
 
Ndio changamoto za nyuzi kama hizi. Yaani tayari mada imeshabadilika kinachojadiliwa humu sasa ni suala la LUGHA na sio Ujumbe huo kutoka kwa Bwana LISU.

Mimi nacheka tu. " Haaahaaa"

..Ndio ukubwa wa tatizo la lugha ya Kiingereza Tanzania.

..Pia ulichokiona ni tatizo la ELIMU yetu kwasababu ndiyo lugha ya kufundisha kuanzia kipato cha kwanza.

..Tunasherehekea miaka 60 ya UHURU wa Tanganyika lakini angalia DAMAGE iliyofanyika ktk mfumo wetu wa ELIMU.

..Sina tatizo na lugha ya Kiswahili, lakini kama nchi tunapaswa kujiuliza tulikuwa wapi mpaka taifa linazalisha wasomi wasiomudu lugha waliyotumia mashuleni kwa miaka 9 au zaidi?
 
"Hatusomi kingereza, Bali tunatumia kingereza kusomea tunachosomea"
Kwa hiyo kutuambia ukiwa na degree au diploma unakuwa unajua kingereza huo ndo ujinga wenyewe
asilimia kubwa ya watanzania wenye diploma na degree wamesoma vyuo vya ndani vya hapahapa tz.

kingereza ndio lugha ambayo inatumika kufundishia watz wengi kuanzia ngazi ya secondary mpaka vyuo vikuu.

nasisitiza tena, ni ujinga na uzwazwa wako wewe mtz mwenye diploma/degree kushindwa kuwasiliana kwa kingereza, lugha ambayo umeitumia kwa miaka kadhaa kujifundishia katika elimu ya secondary na vyuo vikuu. no excuse.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…