Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

CCM wanaotumia mitutu ya bunduki kukabiliana na Chadema ndiyo wana la kujifunza.
 
Mbowe ana fanana na Mstaafu Kikwete, wanakuchekea Kwa nje ila ndani anatafuta namna ya kudeal na wewe 🙌
 
Set up
Soon la mgambo linalia. Mgeni sebuleni
 
CCM wanaotumia mitutu ya bunduki kukabiliana na Chadema ndiyo wana la kujifunza.
Unaanzia wapi kuifananisha chama makini na kilichobeba imani na matumaini ya mamilioni kama CCM na vyama vilivyokosa muelekeo ,Dira na dhaifu kama CHADEMA?
 
Nyie maccm ndio mnaotakiwa mjifunze kua siasa sio chuki wala ugomvi.kwasababu nyie ndio mnaoumiza wapinzani kupitia jeshi la polisi na vyombo vingine.Mkishindwa hoja mnakimbilia kuumiza watu.
CCM ni chama chenye kufanya na kuendesha siasa za kistaarabu.tofauti na CHADEMA ambao hufanya siasa za chuki ,vurugu na kupandikiza uhasama na kuchochea ubaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…