Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

Yaani leo bingwa wa kusifia unasifiwa kuwa na akili kama aliyekuwa RPC wa Dom unaona ni ujinga!!??

Ujinga wa aliyekusifia ni kwa kukufananisha na "ke", kukufananisha na "mtu mkubwa", kukufananisha na "kichwa" Theo wakati wewe ni mkia!!???
Acha ujinga wako
 
Lishe duni, elimu duni, uzazi usio wa mpangilio, kujichua, unywaji uliokithiri wa mataputapu, watoto wa kupata uzeeni n.k.
Hizi ni baadhi ya sababu zinaweza kusababisha kuwa na akili za mtoa mada
Tulia ndio uandike kama mtu mzima .
 
Back
Top Bottom