Tundu Lissu ana cha kujifunza hapa, Siasa siyo Uadui

Ndugu zangu watanzania,

Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa katika mashauriano ya Masuala mbalimbali chini ya kituo cha Demokrasia Tanzania. Picha hii na namna viongozi wetu hawa wa vyama vyetu wanavyotabasamu na kufurahi inaonyesha siasa siyo uadui.

Lakini pia inaonyesha namna viongozi hawa walivyoelewa vyema na kuzifanyia kazi 4R Za Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye aliziasisi na kuzileta katika lengo la kulileta pamoja Taifa na kujenga umoja wa kitaifa, ndio sababu ya kuona leo watu wakiwa huru kuzungumza yaliyo katika vifua vyao kwa uhuru bila hofu.

Pia soma:
Lakini ndio sababu ya kuona viongozi wa vyama vya siasa wakikutana kwa pamoja kama hivi na kufanya mashauriano kwa njia ya amani kabisa, pamoja na vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na ile ya ndani bila shida wala vikwazo vya aina yoyote ile baada ya kuwa taratibu zote zimefuatwa na kuzingatiwa.

Sasa angekuwa ndio Lissu yupo kwenye nafasi ya Mbowe yaani ya uwenyekiti ungeona namna anavyotoa matamko makali makali na ya hovyo hovyo yenye kujenga chuki,uhasama,uadui na kuchochea ubaguzi kwa misingi tofauti tofauti kwa maslahi yake binafsi.maana yeye ni mtu ambaye anapenda mavurugu vurugu na uhasama wa kisiasa.

Ndio maana hutoa lugha zisizo nzuri akiwa mwenye majukwaa ya siasa.ndio sababu hupenda kuita haya ni Ma CCM na yale ni Ma PoliCCM. Yeye huona ambao hawapo kwenye chama chake au hawakubaliani naye kuwa wote hawana akili na hawajitambui na ni mambumbu tu.

anasahau kuwa katika siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu na siasa siyo vita wala uadui.anasahau pia kuwa ili upate ushindi katika ngazi ya aina yoyote ile basi ni lazima ufanye kazi ya kuyashawishi makundi mbalimbali kukuunga mkono na kuwa upande wako badala ya kuyachukia na kuyatukana kwa matusi na lugha za udhalilishaji.

Ndio sababu Lissu anachukiwa na watu wengi sana na watumishi na wafanyakazi wengi sana katika vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha na kuwashushia heshima. ndio maana hakuna anayeweza kumuunga mkono hata kwa kificho tu, maana kila mtu anaona ni mtu mropokaji, mkurupukaji, Mwenye kujaa mihemuko, jazba, hasira na hivyo kushindwa kutumia Busara na hekima katika kuzungumza na kushawishi watu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.

imhotep yale mambo yetu ya nusu mkate sasa 🤣
 
Naona unazifumba macho akili zako kijana.

Punguza kua bias jifunze ku balance ⚖️ maoni na mawazo YAKO.

All in all,
all parties Kuna mazuri na mabaya Ila wewe kila kukicha ni kuponda UPINZANI

Msalimie @Ephen ukatoe mahari Sasa 😊 uoe Usha kua DAZ BABA (Daz mwalimu)
Amuoe nani huyu njaa kali watu watakuwa wanammegea tu hela mpaka amsifie Makonda na Kafulila ndiyo wamrushie hela vocha ndiyo ya kutunza mke?
 
Ndugu zangu watanzania,

Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa katika mashauriano ya Masuala mbalimbali chini ya kituo cha Demokrasia Tanzania. Picha hii na namna viongozi wetu hawa wa vyama vyetu wanavyotabasamu na kufurahi inaonyesha siasa siyo uadui.

Lakini pia inaonyesha namna viongozi hawa walivyoelewa vyema na kuzifanyia kazi 4R Za Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye aliziasisi na kuzileta katika lengo la kulileta pamoja Taifa na kujenga umoja wa kitaifa, ndio sababu ya kuona leo watu wakiwa huru kuzungumza yaliyo katika vifua vyao kwa uhuru bila hofu.

Pia soma:
Lakini ndio sababu ya kuona viongozi wa vyama vya siasa wakikutana kwa pamoja kama hivi na kufanya mashauriano kwa njia ya amani kabisa, pamoja na vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na ile ya ndani bila shida wala vikwazo vya aina yoyote ile baada ya kuwa taratibu zote zimefuatwa na kuzingatiwa.

Sasa angekuwa ndio Lissu yupo kwenye nafasi ya Mbowe yaani ya uwenyekiti ungeona namna anavyotoa matamko makali makali na ya hovyo hovyo yenye kujenga chuki,uhasama,uadui na kuchochea ubaguzi kwa misingi tofauti tofauti kwa maslahi yake binafsi.maana yeye ni mtu ambaye anapenda mavurugu vurugu na uhasama wa kisiasa.

Ndio maana hutoa lugha zisizo nzuri akiwa mwenye majukwaa ya siasa.ndio sababu hupenda kuita haya ni Ma CCM na yale ni Ma PoliCCM. Yeye huona ambao hawapo kwenye chama chake au hawakubaliani naye kuwa wote hawana akili na hawajitambui na ni mambumbu tu.

anasahau kuwa katika siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu na siasa siyo vita wala uadui.anasahau pia kuwa ili upate ushindi katika ngazi ya aina yoyote ile basi ni lazima ufanye kazi ya kuyashawishi makundi mbalimbali kukuunga mkono na kuwa upande wako badala ya kuyachukia na kuyatukana kwa matusi na lugha za udhalilishaji.

Ndio sababu Lissu anachukiwa na watu wengi sana na watumishi na wafanyakazi wengi sana katika vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha na kuwashushia heshima. ndio maana hakuna anayeweza kumuunga mkono hata kwa kificho tu, maana kila mtu anaona ni mtu mropokaji, mkurupukaji, Mwenye kujaa mihemuko, jazba, hasira na hivyo kushindwa kutumia Busara na hekima katika kuzungumza na kushawishi watu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe CHAWA uliyekubuhu kama siasa sio uadui nini kilisababisha tundu lisu apigwe risasi?
 
Amuoe nani huyu njaa kali watu watakuwa wanammegea tu hela mpaka amsifie Makonda na Kafulila ndiyo wamrushie hela vocha ndiyo ya kutunza mke?
Acha ujinga wako wewe .tena ukimgusa huyo ephen itasababisha upigwe ban ya zaidi ya Mwaka mzima.
 
Siasa siyo uadui,siyo?Kwako wewe ambaye huwa unaanzisha nyuzi za kumtukana,kumkashifu na kumdunisha Tundu Lissu kwa kumuweka daraja moja na walima tumbaku wenzako wa Kajunjumele?Merde!
 
Acha ujinga wako wewe .tena ukimgusa huyo ephen itasababisha upigwe ban ya zaidi ya Mwaka mzima.
Yaani uone mke kwa hela ya kurushiwa baada ya kuandika pambio la kumsifia mtu wahuni watakugongea mkeo na huyo mwanamke atakudharau kwa kuishi kwa uchawa.
 
Ndugu zangu watanzania,

Tundu Lissu anayo mengi sana ya kujifunza kutoka Katika picha hii inayomuonesha Katibu Mkuu wa CCM Mheshimiwa Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi akifurahia jambo na Mwenyekiti wa CHADEMA Mheshimiwa Freeman Mbowe.

Hii picha ilichukuliwa na kupigwa hapo jana walipokutana viongozi mbalimbali wa vyama vya siasa katika mashauriano ya Masuala mbalimbali chini ya kituo cha Demokrasia Tanzania. Picha hii na namna viongozi wetu hawa wa vyama vyetu wanavyotabasamu na kufurahi inaonyesha siasa siyo uadui.

Lakini pia inaonyesha namna viongozi hawa walivyoelewa vyema na kuzifanyia kazi 4R Za Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan ambaye aliziasisi na kuzileta katika lengo la kulileta pamoja Taifa na kujenga umoja wa kitaifa, ndio sababu ya kuona leo watu wakiwa huru kuzungumza yaliyo katika vifua vyao kwa uhuru bila hofu.

Pia soma:
Lakini ndio sababu ya kuona viongozi wa vyama vya siasa wakikutana kwa pamoja kama hivi na kufanya mashauriano kwa njia ya amani kabisa, pamoja na vyama vya siasa kufanya mikutano ya hadhara na ile ya ndani bila shida wala vikwazo vya aina yoyote ile baada ya kuwa taratibu zote zimefuatwa na kuzingatiwa.

Sasa angekuwa ndio Lissu yupo kwenye nafasi ya Mbowe yaani ya uwenyekiti ungeona namna anavyotoa matamko makali makali na ya hovyo hovyo yenye kujenga chuki,uhasama,uadui na kuchochea ubaguzi kwa misingi tofauti tofauti kwa maslahi yake binafsi.maana yeye ni mtu ambaye anapenda mavurugu vurugu na uhasama wa kisiasa.

Ndio maana hutoa lugha zisizo nzuri akiwa mwenye majukwaa ya siasa.ndio sababu hupenda kuita haya ni Ma CCM na yale ni Ma PoliCCM. Yeye huona ambao hawapo kwenye chama chake au hawakubaliani naye kuwa wote hawana akili na hawajitambui na ni mambumbu tu.

anasahau kuwa katika siasa hakunaga adui wa kudumu wala rafiki wa kudumu na siasa siyo vita wala uadui.anasahau pia kuwa ili upate ushindi katika ngazi ya aina yoyote ile basi ni lazima ufanye kazi ya kuyashawishi makundi mbalimbali kukuunga mkono na kuwa upande wako badala ya kuyachukia na kuyatukana kwa matusi na lugha za udhalilishaji.

Ndio sababu Lissu anachukiwa na watu wengi sana na watumishi na wafanyakazi wengi sana katika vyombo vya ulinzi na usalama kutokana na maneno yake ya kuwadhalilisha na kuwashushia heshima. ndio maana hakuna anayeweza kumuunga mkono hata kwa kificho tu, maana kila mtu anaona ni mtu mropokaji, mkurupukaji, Mwenye kujaa mihemuko, jazba, hasira na hivyo kushindwa kutumia Busara na hekima katika kuzungumza na kushawishi watu.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Tundu Lissu ana asili ya roho mbaya sana, yeye ndio hataki akina Mdee wasamehewe. Ukiwa na Rais wa hivyo anaweza kuua watu wengi sana kuliko hata jiwe.
 
Wakifurahia jambo, jambo gani?

Hebu tuweke wazi hapo
 
Lishe duni, elimu duni, uzazi usio wa mpangilio, kujichua, unywaji uliokithiri wa mataputapu, watoto wa kupata uzeeni n.k.
Hizi ni baadhi ya sababu zinaweza kusababisha kuwa na akili za mtoa mada
 
Back
Top Bottom