residentura JF-Expert Member Joined Mar 1, 2017 Posts 8,146 Reaction score 11,434 Aug 19, 2024 #101 Yaani leo bingwa wa kusifia unasifiwa kuwa na akili kama aliyekuwa RPC wa Dom unaona ni ujinga!!?? Ujinga wa aliyekusifia ni kwa kukufananisha na "ke", kukufananisha na "mtu mkubwa", kukufananisha na "kichwa" Theo wakati wewe ni mkia!!??? Lucas Mwashambwa said: Acha ujinga wako Click to expand...
Yaani leo bingwa wa kusifia unasifiwa kuwa na akili kama aliyekuwa RPC wa Dom unaona ni ujinga!!?? Ujinga wa aliyekusifia ni kwa kukufananisha na "ke", kukufananisha na "mtu mkubwa", kukufananisha na "kichwa" Theo wakati wewe ni mkia!!??? Lucas Mwashambwa said: Acha ujinga wako Click to expand...
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 19, 2024 Thread starter #102 Moe Szyslak said: Lishe duni, elimu duni, uzazi usio wa mpangilio, kujichua, unywaji uliokithiri wa mataputapu, watoto wa kupata uzeeni n.k. Hizi ni baadhi ya sababu zinaweza kusababisha kuwa na akili za mtoa mada Click to expand... Tulia ndio uandike kama mtu mzima .
Moe Szyslak said: Lishe duni, elimu duni, uzazi usio wa mpangilio, kujichua, unywaji uliokithiri wa mataputapu, watoto wa kupata uzeeni n.k. Hizi ni baadhi ya sababu zinaweza kusababisha kuwa na akili za mtoa mada Click to expand... Tulia ndio uandike kama mtu mzima .
N nguvu JF-Expert Member Joined Jun 13, 2013 Posts 22,976 Reaction score 22,564 Aug 19, 2024 #103 Lucas Mwashambwa said: Acha utoto wako Click to expand... Mimi na wewe nani mtoto?
L Lucas Mwashambwa JF-Expert Member Joined Jul 28, 2022 Posts 28,722 Reaction score 20,610 Aug 20, 2024 Thread starter #104 nguvu said: Mimi na wewe nani mtoto? Click to expand... Wewe