Tundu Lissu ana tatizo la an Anxiety disorder?

Tundu Lissu ana tatizo la an Anxiety disorder?

Elius W Ndabila

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2019
Posts
324
Reaction score
649
MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER?

Na Elius Ndabila

Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na wasiwasi unaoletwa na matokeo ya kawaida ya maisha na dalili za ugonjwa wa wasiwasi.

Magonjwa ya wasiwasi huathiri mtu anavyofikiri, anavyohisi na pia tabia zake. Asipotibiwa mapema, maisha yake hutatizika mno. Hata hivyo, matibabu ya wasiwasi humtibu mtu kikamilifu.


Mh Lisu ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais nafasi kubwa kabisa katika nyadhifa zozote nchini nimekuwa ninamfananisha na mtu mwenye ugonjwa wa Anxiety disorder baada ya kupima dalili za ugonjwa huu na matendo anayofanya Mh Lisu. Ikumbukwe kuwa Mh Lisu akiwa nchini Ubelgiji alikokuwa akipatiwa matibabu ya kujeruhiwa na Risasi alianza kutoa matamko kadhaa pale alipoanza kuwa na dalili za kurejea nchini. Akiwa nchini Ubelgiji aliwahi kusema kuwa anaomba Ulinzi atakaporejea nchini, lakini serikali ilipuuza kwa kuwa ulinzi kwa mjibu wa sheria za nchi yetu ni kila Raia Ni mlinzi.

Haikutosha alisisitiza kuwa akirejea nchini serikali inajiandaa kumkamata na kumtengenezea kesi. Alisema hayo akijua fika mtu anayekamatwa ni mhalifu tu na mwenye dalili ya kufanya uhalifu. Lakini baada ya kuona serikali haina muda na matamshi yake na yeye akitamani serikali ifanye hivyo ili aendelee kupata hifadhi ya kisiasa (political asylum ambayo imekuwa affirmed by article 14 of UDHR) huko Ubelgiji yeye kwa kushirikiana na chama chake walitengeneza maandamano ya kughushi kutoka Airport mpaka Ufipa, SERIKALI ILIWAPUUZA ikiamini jibu la mpuuzi ni kumpuuza. Baada ya jaribio hilo kukwama kwa maana ya kuvitikisa vyombo kesho yake walijaribu kwenda uwanja wa uhuru kuuga mwili kwa kuchelewa wakazuiliwa. Baada ya hapo alipata agenda ambayo alitembea nayo wiki nzima kwenye vyombo vya habari vya kimataifa baada ya vyombo vya ndani kugundua kuwa huyu ni *AN ANXIETY DISORDER*.

Majaribio yote yalikwama, lakini baada ya kutangazwa na chama chake kugombea Urais akiwa anatafuta wadhamini 200 kwa mikoa kumi amekuwa akifanya maandamano na kutoa shutuma kubwa kwa viongozi wa serikali. Ilifika mahali akasema tume inajiandaa kumwengua kwenye mchakato. Alifanya hivyo kama *RHETORICAL QUESTION* kwa kuwa alisema na kujijibu. Baada ya kuona tume haina mpango naye basi baada ya kuanza kampeni ametia muda mrefu kulalamika.

Nafasi anayogombea Mh Lusu ni kubwa na inataka utulivu wa akili. Mh Lisu atawathibitishia vipi watanzania kuwa akipewa nafasi hii atafanya kazi vizuri wakati anatumia muda mwingi kuhemusha na kuzusha? Ni kweli Lisu anataka Urais au lengo lake ni kukusanya fedha za CDM Kama ambavyo wamekuwa wakiwachangisha Wafuasi wao kwenye kampeni ili zikamsaidie kwenye life after election?

Kugombea Urais ni haki ya kila mtanzania aliyekidhi vigezo vya kikatiba, LAKINI KUWA RAIS SI HAKI YA KILA MTU. KUNA WATU WAKIPATA URAIS HATA KWA DAKIKA 10 TU NCHI ITAUZWA. Mh Lisu is among of them.


Ukisoma moja ya dalili za ugonjwa wa Wasiwasi I mean generalized anxiety disorder Ni watu waliothiriwa hujibabaisha kuhusu hatari inayoweza wajia na hubabaika huja na huzuni na pia hali ya kushituka. Mh Lisu amekuwa hivyo kwenye social phobia wakati mwingine naweza sema ugonjwa huu ni Obsessive compulsive disorder (Ugonjwa wa kujilazimisha). Hivi kama Lisu ataumwa ugongwa huu si atakuwa amejilazimisha? Atakuwa amejilazimisha kwa kuwa Lisu kupambana na JPM Ni sawa na kubeba jiwe la uzito wa Tani Mbili kichwani. Bora kuwa na specific phobia kuliko Obsessive compulsive disorder.

Mh Lisu alipaswa kuwa na Post traumatic stress disorder, angekuwa hivi asingeingia kwenye mchakato kwani ingemsaidia kujua kuwa hata shinda hivyo asipoteze muda.
 
Jihadhari na ugonjwa wa stress.
Uwe na huruma,ungekua wewe mwiba tuu ungekua umekufa zamani.acha roho mbaya,haikusaidii chochote,ifuate dini yako na maandiko yanasemaje. itakusaidia wewe,mkeo,mamako,babako na wanao.ccm oyee
 
Uwe na huruma,ungekua wewe mwiba tuu ungekua umekufa zamani.acha roho mbaya,haikusaidii chochote,ifuate dini yako na maandiko yanasemaje. itakusaidia wewe,mkeo,mamako,babako na wanao.ccm oyee
Kama Wewe mkuu. Najua unao wote hao uliowataja. Mwiba uchomeapo ndipo utokeapo. Karibu sana mkuu. Mimi kwangu Kiswahili ni lugha mama. Endelea mkuu.
 
Elias
acha kuandika upupu huu, tunayejukujua ulivyo mwomaji wa rushwa halafu unaandika maneno kama haya unashamgaz. upo kwenye nyumba ya “kipi “ unataka turushe mawe?
 
Baada ya kushindwa kumuua kwa Risasi za moto na baada ya kila wachawi wa CCM kubwaga manyanga sasa mumekuja na ugonjwa ka kizushi ati wasiwasi wakati wasiwasi Akili

Mjinga yeyote hana wasiwasi
 
Anayezungukwa na walinzi waliobeba hadharani silaha za kivita yeye ana nini?

Lakini bora anxiety disorder kuna disorder inaitwa Saddism. Saddist yeye huona raha wengine wanavyopata tabu na kuteseka, mfano anaweza sema atafanya maisha yawe magumu ili watu mkimbie mjini, anaweza fanya maisha magumu ili 'mlimie meno', anaweza sema asiye na nauli ya kivuko apige mbizi, au badala ya kuwafariji waliofikwa na majanga anaweza kuwakebehi kwa kuwauliza kama hayo majanga aliyeleta yeye, anaweza kuuwa na kutesa. Yani yeye mateso na jinsi wengine wanavyoteseka kwake ndio furaha. He lacks empathy and sympathy

Sasa katika Jamii bora uwe kiongozi mwenye Anxiety Disorder na sio Saddist
 
Magu ndio analo hili na alionekana akitukana watu majukwaani huko kusini kwa nchi hafai kabisa.
 
Bora TL ana disorder hy ya kuwa na wasiwasi uliyoisema, mwenzake ana mental disorder!!!.
 
Kajifunze kwanza kuhusu mental health condition mtu mwenye ‘anxiety disorder’ anakimbia au anakuwa mwenye wasi wasi (irrational fear) kwenye mazingira ambayo hayupo comfortable nayo (phobia).

You can easily tell (google anxiety behaviours). Lissu anaeropoka vile na kujiamini awezi kuwa na anxiety. That is not to say he doesn’t have other stress related mental health issues.
 
Back
Top Bottom