Tundu Lissu ana tatizo la an Anxiety disorder?

We ujaona campaign za Magu anavyotabasamu na singeli juu anacheza hana hata habari na povu la Lissu.
Moyoni anaumia mno!Yaani kweli mwanza anakotokea pamoja na kwamba alizuia wasibomolewe nyumba zao ila wanamuita Lissu Rais??Lazima anaugulia maumivu kisirisir!😂😂
 
MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER?

Na Elius Ndabila

Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na wasiwasi unaoletwa na matokeo ya kawaida ya maisha na dalili za ugonjwa wa wasiwasi.

Magonjwa ya wasiwasi huathiri mtu anavyofikiri, anavyohisi na pia tabia zake. Asipotibiwa mapema, maisha yake hutatizika mno. Hata hivyo, matibabu ya wasiwasi humtibu mtu kikamilifu.

Mh Lisu ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais nafasi kubwa kabisa katika nyadhifa zozote nchini nimekuwa ninamfananisha na mtu mwenye ugonjwa wa Anxiety disorder baada ya kupima dalili za ugonjwa huu na matendo anayofanya Mh Lisu. Ikumbukwe kuwa Mh Lisu akiwa nchini Ubelgiji alikokuwa akipatiwa matibabu ya kujeruhiwa na Risasi alianza kutoa matamko kadhaa pale alipoanza kuwa na dalili za kurejea nchini. Akiwa nchini Ubelgiji aliwahi kusema kuwa anaomba Ulinzi atakaporejea nchini, lakini serikali ilipuuza kwa kuwa ulinzi kwa mjibu wa sheria za nchi yetu ni kila Raia Ni mlinzi.

Haikutosha alisisitiza kuwa akirejea nchini serikali inajiandaa kumkamata na kumtengenezea kesi. Alisema hayo akijua fika mtu anayekamatwa ni mhalifu tu na mwenye dalili ya kufanya uhalifu. Lakini baada ya kuona serikali haina muda na matamshi yake na yeye akitamani serikali ifanye hivyo ili aendelee kupata hifadhi ya kisiasa (political asylum ambayo imekuwa affirmed by article 14 of UDHR) huko Ubelgiji yeye kwa kushirikiana na chama chake walitengeneza maandamano ya kughushi kutoka Airport mpaka Ufipa, SERIKALI ILIWAPUUZA ikiamini jibu la mpuuzi ni kumpuuza. Baada ya jaribio hilo kukwama kwa maana ya kuvitikisa vyombo kesho yake walijaribu kwenda uwanja wa uhuru kuuga mwili kwa kuchelewa wakazuiliwa. Baada ya hapo alipata agenda ambayo alitembea nayo wiki nzima kwenye vyombo vya habari vya kimataifa baada ya vyombo vya ndani kugundua kuwa huyu ni *AN ANXIETY DISORDER*.

Majaribio yote yalikwama, lakini baada ya kutangazwa na chama chake kugombea Urais akiwa anatafuta wadhamini 200 kwa mikoa kumi amekuwa akifanya maandamano na kutoa shutuma kubwa kwa viongozi wa serikali. Ilifika mahali akasema tume inajiandaa kumwengua kwenye mchakato. Alifanya hivyo kama *RHETORICAL QUESTION* kwa kuwa alisema na kujijibu. Baada ya kuona tume haina mpango naye basi baada ya kuanza kampeni ametia muda mrefu kulalamika.

Nafasi anayogombea Mh Lusu ni kubwa na inataka utulivu wa akili. Mh Lisu atawathibitishia vipi watanzania kuwa akipewa nafasi hii atafanya kazi vizuri wakati anatumia muda mwingi kuhemusha na kuzusha? Ni kweli Lisu anataka Urais au lengo lake ni kukusanya fedha za CDM Kama ambavyo wamekuwa wakiwachangisha Wafuasi wao kwenye kampeni ili zikamsaidie kwenye life after election?

Kugombea Urais ni haki ya kila mtanzania aliyekidhi vigezo vya kikatiba, LAKINI KUWA RAIS SI HAKI YA KILA MTU. KUNA WATU WAKIPATA URAIS HATA KWA DAKIKA 10 TU NCHI ITAUZWA. Mh Lisu is among of them.

Ukisoma moja ya dalili za ugonjwa wa Wasiwasi I mean generalized anxiety disorder Ni watu waliothiriwa hujibabaisha kuhusu hatari inayoweza wajia na hubabaika huja na huzuni na pia hali ya kushituka. Mh Lisu amekuwa hivyo kwenye social phobia wakati mwingine naweza sema ugonjwa huu ni Obsessive compulsive disorder (Ugonjwa wa kujilazimisha). Hivi kama Lisu ataumwa ugongwa huu si atakuwa amejilazimisha? Atakuwa amejilazimisha kwa kuwa Lisu kupambana na JPM Ni sawa na kubeba jiwe la uzito wa Tani Mbili kichwani. Bora kuwa na specific phobia kuliko Obsessive compulsive disorder.

Mh Lisu alipaswa kuwa na Post traumatic stress disorder, angekuwa hivi asingeingia kwenye mchakato kwani ingemsaidia kujua kuwa hata shinda hivyo asipoteze muda.

Daktari mbona unaandika tu kwenye keyboard hwendi kumsaidia mgonjwa .Naona kama ugonjwa huo umekuanza wewe na huyo aliyekutuma
 
Jana nilisema mahali mkianzisha ugomvi msigeuke na kuanza kutumia visivyohitajika. Mmeomba kampeni ya kistaarabu wenzenu wanafanya mnaanza matusi. Mkipigwa msikimbilie time na kwingineko.

jana mlitupa jiwe mkajibiwa Leo mmesema anaeneza chuki.

mtapata mnachokitafuta
 
Moyoni anaumia mno!Yaani kweli mwanza anakotokea pamoja na kwamba alizuia wasibomolewe nyumba zao ila wanamuita Lissu Rais??Lazima anaugulia maumivu kisirisir!😂😂
Kama Singida audience aliyoipata Magufuli barabarani ni kubwa kushinda watu aliokusanya Lissu; unadhani akienda Mwanza uwanja wa Kirumba utatosha.

Huu uchaguzi ni wa Magufuli wengine wanatimiza matakwa ya kikatiba tu, sasa aina maana awatapata wapambe katika pitapita zao.

Muulize Membe kwanini kaamua kuanzia campaign yake Lindi keshaona upepo watu wa Dar washaamua miaka mitano mingine ya Magufuli.
 
Huu uchaguzi ni wa Magufuli wengine wanatimiza matakwa ya kikatiba tu, sasa aina maana awatapata wapambe.

Muulize Membe kwanini kaamua kuanzia campaign yake Lindi keshaona upepo watu wa Dar washaamua miaka mitano mingine ya Magufuli.

Yaani watu wa Dar walishaamua miaka mingine mitano waendelee kunya Povu na wawaache viongozi wa CCM na family zao wanye mavi ??
 
MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER?

Na Elius Ndabila

Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na wasiwasi unaoletwa na matokeo ya kawaida ya maisha na dalili za ugonjwa wa wasiwasi.

Magonjwa ya wasiwasi huathiri mtu anavyofikiri, anavyohisi na pia tabia zake. Asipotibiwa mapema, maisha yake hutatizika mno. Hata hivyo, matibabu ya wasiwasi humtibu mtu kikamilifu.

Mh Lisu ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais nafasi kubwa kabisa katika nyadhifa zozote nchini nimekuwa ninamfananisha na mtu mwenye ugonjwa wa Anxiety disorder baada ya kupima dalili za ugonjwa huu na matendo anayofanya Mh Lisu. Ikumbukwe kuwa Mh Lisu akiwa nchini Ubelgiji alikokuwa akipatiwa matibabu ya kujeruhiwa na Risasi alianza kutoa matamko kadhaa pale alipoanza kuwa na dalili za kurejea nchini. Akiwa nchini Ubelgiji aliwahi kusema kuwa anaomba Ulinzi atakaporejea nchini, lakini serikali ilipuuza kwa kuwa ulinzi kwa mjibu wa sheria za nchi yetu ni kila Raia Ni mlinzi.

Haikutosha alisisitiza kuwa akirejea nchini serikali inajiandaa kumkamata na kumtengenezea kesi. Alisema hayo akijua fika mtu anayekamatwa ni mhalifu tu na mwenye dalili ya kufanya uhalifu. Lakini baada ya kuona serikali haina muda na matamshi yake na yeye akitamani serikali ifanye hivyo ili aendelee kupata hifadhi ya kisiasa (political asylum ambayo imekuwa affirmed by article 14 of UDHR) huko Ubelgiji yeye kwa kushirikiana na chama chake walitengeneza maandamano ya kughushi kutoka Airport mpaka Ufipa, SERIKALI ILIWAPUUZA ikiamini jibu la mpuuzi ni kumpuuza. Baada ya jaribio hilo kukwama kwa maana ya kuvitikisa vyombo kesho yake walijaribu kwenda uwanja wa uhuru kuuga mwili kwa kuchelewa wakazuiliwa. Baada ya hapo alipata agenda ambayo alitembea nayo wiki nzima kwenye vyombo vya habari vya kimataifa baada ya vyombo vya ndani kugundua kuwa huyu ni *AN ANXIETY DISORDER*.

Majaribio yote yalikwama, lakini baada ya kutangazwa na chama chake kugombea Urais akiwa anatafuta wadhamini 200 kwa mikoa kumi amekuwa akifanya maandamano na kutoa shutuma kubwa kwa viongozi wa serikali. Ilifika mahali akasema tume inajiandaa kumwengua kwenye mchakato. Alifanya hivyo kama *RHETORICAL QUESTION* kwa kuwa alisema na kujijibu. Baada ya kuona tume haina mpango naye basi baada ya kuanza kampeni ametia muda mrefu kulalamika.

Nafasi anayogombea Mh Lusu ni kubwa na inataka utulivu wa akili. Mh Lisu atawathibitishia vipi watanzania kuwa akipewa nafasi hii atafanya kazi vizuri wakati anatumia muda mwingi kuhemusha na kuzusha? Ni kweli Lisu anataka Urais au lengo lake ni kukusanya fedha za CDM Kama ambavyo wamekuwa wakiwachangisha Wafuasi wao kwenye kampeni ili zikamsaidie kwenye life after election?

Kugombea Urais ni haki ya kila mtanzania aliyekidhi vigezo vya kikatiba, LAKINI KUWA RAIS SI HAKI YA KILA MTU. KUNA WATU WAKIPATA URAIS HATA KWA DAKIKA 10 TU NCHI ITAUZWA. Mh Lisu is among of them.

Ukisoma moja ya dalili za ugonjwa wa Wasiwasi I mean generalized anxiety disorder Ni watu waliothiriwa hujibabaisha kuhusu hatari inayoweza wajia na hubabaika huja na huzuni na pia hali ya kushituka. Mh Lisu amekuwa hivyo kwenye social phobia wakati mwingine naweza sema ugonjwa huu ni Obsessive compulsive disorder (Ugonjwa wa kujilazimisha). Hivi kama Lisu ataumwa ugongwa huu si atakuwa amejilazimisha? Atakuwa amejilazimisha kwa kuwa Lisu kupambana na JPM Ni sawa na kubeba jiwe la uzito wa Tani Mbili kichwani. Bora kuwa na specific phobia kuliko Obsessive compulsive disorder.

Mh Lisu alipaswa kuwa na Post traumatic stress disorder, angekuwa hivi asingeingia kwenye mchakato kwani ingemsaidia kujua kuwa hata shinda hivyo asipoteze muda.
Huyu huyu Tundu Lissu mwenye Attention Disorder ndiye tunamtaka. Na dawa ya attention disorder ni kumpa kura aingie Ikulu
 
Kuna kitu inabidi nyie mnaokuja na masred yenu marefu muwe mnatufafanulia kirahisi ili sisi wanaccm wenzenu tuelewe...
Anazusha nini, ili kifafanuliwe kwa hoja
Anamtukana nani, na tusi gani...

Msituchanganye la sivyo tutajua ni kweli na tutawachinjia baharini mwaka huu msipokuja na hoja za maana
 
Ama kweli mmechangajikiwa.
Mwenye tatizo ni nani kati ya Lissu na aliyekuwa anafanya kameni yeye na chama chake peke yao kwa muda wa miaka mitano iliyopita na mpaka sasa anaendelea huku akiwa na wasiwasimkubwa wa kutopewa kura?
 
Kama Singida audience aliyoipata Magufuli barabarani ni kubwa kushinda watu aliokusanya Lissu; unadhani akienda Mwanza uwanja wa Kirumba utatosha.

Huu uchaguzi ni wa Magufuli wengine wanatimiza matakwa ya kikatiba tu, sasa aina maana awatapata wapambe katika pitapita zao.

Muulize Membe kwanini kaamua kuanzia campaign yake Lindi keshaona upepo watu wa Dar washaamua miaka mitano mingine ya Magufuli.
Piga chini Magufuli,rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania!
Alidhani ameua upinzani,watanzania wamemjibu vizuri kabisa!Ajitafakari
 
Mmeshindwa kwa hoja mmedandia hoja ya ugonjwa@ hamjui kuwa wasiwasi ndio akili.
 
Piga chini Magufuli,rais wa hovyo kuwahi kutokea Tanzania!
Alidhani ameua upinzani,watanzania wamemjibu vizuri kabisa!Ajitafakari
We subiri October 28 ndio upate jibu la maamuzi ya watanzania.

Lissu anaomba kazi iliyo juu ya uwezo wake kila kitu ana ahidi atafanya ni watu wa ovyo tu ndio wanaoamini porojo za Lissu.
 
Mtu wa hovyo ndiye atayeamini upuuzi wa CCM kutengeneza ajira mil 8 wakioewa ridhaa!
Kama JPM mtu aliyefaa kuwa Nyampara wa barabara kawa Rais,basi hakuna anayeshindwa kuwa Rais!
 
MH LISU ANA TATIZO LA ANXIETY DISORDER?

Na Elius Ndabila

Anxiety disorder kwa kiswahili ni Ugonjwa wa Wasiwasi(ugonjwa wa Mashaka mashaka). Nieleweke kwamba kuwa na wasiwasi ni jambo la kawaida kwa mwanadamu, hivyo kwa sababu wasiwasi ni jambo la kawaida, ni mhimu kutofautisha baina ya kuwa na wasiwasi unaoletwa na matokeo ya kawaida ya maisha na dalili za ugonjwa wa wasiwasi.

Magonjwa ya wasiwasi huathiri mtu anavyofikiri, anavyohisi na pia tabia zake. Asipotibiwa mapema, maisha yake hutatizika mno. Hata hivyo, matibabu ya wasiwasi humtibu mtu kikamilifu.

Mh Lisu ambaye ni mgombea wa nafasi ya Urais nafasi kubwa kabisa katika nyadhifa zozote nchini nimekuwa ninamfananisha na mtu mwenye ugonjwa wa Anxiety disorder baada ya kupima dalili za ugonjwa huu na matendo anayofanya Mh Lisu. Ikumbukwe kuwa Mh Lisu akiwa nchini Ubelgiji alikokuwa akipatiwa matibabu ya kujeruhiwa na Risasi alianza kutoa matamko kadhaa pale alipoanza kuwa na dalili za kurejea nchini. Akiwa nchini Ubelgiji aliwahi kusema kuwa anaomba Ulinzi atakaporejea nchini, lakini serikali ilipuuza kwa kuwa ulinzi kwa mjibu wa sheria za nchi yetu ni kila Raia Ni mlinzi.

Haikutosha alisisitiza kuwa akirejea nchini serikali inajiandaa kumkamata na kumtengenezea kesi. Alisema hayo akijua fika mtu anayekamatwa ni mhalifu tu na mwenye dalili ya kufanya uhalifu. Lakini baada ya kuona serikali haina muda na matamshi yake na yeye akitamani serikali ifanye hivyo ili aendelee kupata hifadhi ya kisiasa (political asylum ambayo imekuwa affirmed by article 14 of UDHR) huko Ubelgiji yeye kwa kushirikiana na chama chake walitengeneza maandamano ya kughushi kutoka Airport mpaka Ufipa, SERIKALI ILIWAPUUZA ikiamini jibu la mpuuzi ni kumpuuza. Baada ya jaribio hilo kukwama kwa maana ya kuvitikisa vyombo kesho yake walijaribu kwenda uwanja wa uhuru kuuga mwili kwa kuchelewa wakazuiliwa. Baada ya hapo alipata agenda ambayo alitembea nayo wiki nzima kwenye vyombo vya habari vya kimataifa baada ya vyombo vya ndani kugundua kuwa huyu ni *AN ANXIETY DISORDER*.

Majaribio yote yalikwama, lakini baada ya kutangazwa na chama chake kugombea Urais akiwa anatafuta wadhamini 200 kwa mikoa kumi amekuwa akifanya maandamano na kutoa shutuma kubwa kwa viongozi wa serikali. Ilifika mahali akasema tume inajiandaa kumwengua kwenye mchakato. Alifanya hivyo kama *RHETORICAL QUESTION* kwa kuwa alisema na kujijibu. Baada ya kuona tume haina mpango naye basi baada ya kuanza kampeni ametia muda mrefu kulalamika.

Nafasi anayogombea Mh Lusu ni kubwa na inataka utulivu wa akili. Mh Lisu atawathibitishia vipi watanzania kuwa akipewa nafasi hii atafanya kazi vizuri wakati anatumia muda mwingi kuhemusha na kuzusha? Ni kweli Lisu anataka Urais au lengo lake ni kukusanya fedha za CDM Kama ambavyo wamekuwa wakiwachangisha Wafuasi wao kwenye kampeni ili zikamsaidie kwenye life after election?

Kugombea Urais ni haki ya kila mtanzania aliyekidhi vigezo vya kikatiba, LAKINI KUWA RAIS SI HAKI YA KILA MTU. KUNA WATU WAKIPATA URAIS HATA KWA DAKIKA 10 TU NCHI ITAUZWA. Mh Lisu is among of them.

Ukisoma moja ya dalili za ugonjwa wa Wasiwasi I mean generalized anxiety disorder Ni watu waliothiriwa hujibabaisha kuhusu hatari inayoweza wajia na hubabaika huja na huzuni na pia hali ya kushituka. Mh Lisu amekuwa hivyo kwenye social phobia wakati mwingine naweza sema ugonjwa huu ni Obsessive compulsive disorder (Ugonjwa wa kujilazimisha). Hivi kama Lisu ataumwa ugongwa huu si atakuwa amejilazimisha? Atakuwa amejilazimisha kwa kuwa Lisu kupambana na JPM Ni sawa na kubeba jiwe la uzito wa Tani Mbili kichwani. Bora kuwa na specific phobia kuliko Obsessive compulsive disorder.

Mh Lisu alipaswa kuwa na Post traumatic stress disorder, angekuwa hivi asingeingia kwenye mchakato kwani ingemsaidia kujua kuwa hata shinda hivyo asipoteze muda.
Kwahiyo?
 
Kujua hilo kutoka kwake inamsaidia nini mtanzania masikini
 
Back
Top Bottom