Tundu Lissu anafaa sana kuwa mbunge au hata rais lakini sio kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.

Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
 
Unampaka Mafuta Kwa mgongo wa chupa.

Bora awe Mwenyekiti wenu huko huko ila asiwe Rais ,Nchi itaanguka vibaya maana Kwa huyo mtu wenu Kila mtu anakosea isipokuwa yeye 😂😂
 
Huo urais labda akuongoze wewe lakini sio watanzania!
 
Unampaka Mafuta Kwa mgongo wa chupa.

Bora awe Mwenyekiti wenu huko huko ila asiwe Rais ,Nchi itaanguka vibaya maana Kwa huyo mtu wenu Kila mtu anakosea isipokuwa yeye 😂😂
Wewe zamani si ulikuwa CDM sasa vipi tena umekengeuka?
 
Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.

Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Mwendawazimu wewe
 
Mkuu mbowe alifaa saña miaka ya 2000 hadi 2015 kwa sababu siasa zilikuwa tofauti.
Aliweza kujenga chama kwa kukifanya chadema kikawa chama cha vijana hasa wasomi.
Vyuoni kilikuwa kina wafuasi wengi, na ni chama kilichowavutia vijana na kuwapa nafasi.
Pia ili kuwafikia vijana kilishika sana mitandaoni ambapo wengine walikuja kuiga baadaye.
Lakini tangu jiwe aliposhika madaraka, siasa zikabadilika zikawa za kibabe sana.
Ccm walikuwa wezi kabla ila walikuwa na aibu kidogo, ila sasa ccm wanaiba hadharani bila aibu. Mbinu za mbowe alizotumia hapo kabla kwa siasa zilivyo tz hazifanyi kazi tena. Anahitajika mtu mwenye mbinu mpya.
Hata kocha anaweza kuipeleka timu mnali ila kuna muda unafika mbinu zake zinakuwa hazifanyi kazi tena.
Kwa siasa za sasa mbowe ni mpole kwa siasa za kipindi hiki na ndio maana ccm wanampenda kuliko lissu.
 
Hiyo nchi ya kuongozwa na rais zezeta ndiyo iko wapi? Tanzania hii hii ninayoijua mimi, au una yako ya kufikirika?
Chama chake tu wamesema wazi walimteua lakini walijua hawezi kushinda, sasa huo urais wa wapi? Au una maanisha urais wa TLS?
 
Back
Top Bottom