Unampaka Mafuta Kwa mgongo wa chupa.Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.
Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Huo urais labda akuongoze wewe lakini sio watanzania!Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.
Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Anaweza sana kuongoza washenzi wa ccm lakini wana CDM hawezi.Huo urais labda akuongoze wewe lakini sio watanzania!
Wewe zamani si ulikuwa CDM sasa vipi tena umekengeuka?Unampaka Mafuta Kwa mgongo wa chupa.
Bora awe Mwenyekiti wenu huko huko ila asiwe Rais ,Nchi itaanguka vibaya maana Kwa huyo mtu wenu Kila mtu anakosea isipokuwa yeye 😂😂
NdioWewe zamani si ulikuwa CDM sasa vipi tena umekengeuka?
Mwendawazimu weweLissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.
Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Utakuta bado mtu mzima kama wewe unaisapoti ccm! Huu ni upunguani mkubwa!Mwendawazimu wewe
What a contradiction ,yaani aweze kuwa Rais wa nchi lakini asiweze kuwa mwenyekiti wa chama? Nahitaji darasa hapa.
Mkuu mbowe alifaa saña miaka ya 2000 hadi 2015 kwa sababu siasa zilikuwa tofauti.Lissu anaweza kuwa mbunge mzuri sana kwenye jimbo lolote Tanzania lakini sio kuwa mwenyekiti wa CDM.
Kuongoza chama cha upinzani tena hapa Tanzania ni ujuzi mwigine kabisa. CDM inataka kiongozi mwenye hekima na busara kubwa. Kiongozi mwenye diplomacy ya hali ya juu. Lissu bado hajafikia huko.
Nakazia..Kwa siasa za sasa mbowe ni mpole kwa siasa za kipindi hiki na ndio maana ccm wanampenda kuliko lissu.