johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄