Pre GE2025 Tundu Lissu anapata wapi nguvu ya kufanya Mikutano wiki 3 mfululizo Kijiji kwa Kijiji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mikutano yake naona anatoa shule kwa Wananchi wa kawaida. Hii kitu CCM wasiiichukulie poa maana Wapiga kura hao wa vijijini wakielemika huwa wanakengeuka mazima. Jamaa yupo serious, na CHADEMA wakimzungua akianzisha Chama, CHADEMA kwisha habari yake
Alaah! Kwahiyo wewe hutaki wananchi waelimishwe?
 
Unakumbuka Ile Ya Dodoma Alipofafanua Katiba Nchi Ikawa Juu

CCM Walishindwa Kujibu Hoja Wao Wanasema Asitugawe Hawataji Vifungu Vya Katiba
Lisu hafai kupewq nafasi ya kueleza jambo , chawa hao 😀😀. Wanatamani jamaa awe bubu
 
Mikutano yake naona anatoa shule kwa Wananchi wa kawaida. Hii kitu CCM wasiiichukulie poa maana Wapiga kura hao wa vijijini wakielemika huwa wanakengeuka mazima. Jamaa yupo serious, na CHADEMA wakimzungua akianzisha Chama, CHADEMA kwisha habari yake
Shuld gani. Hivi mbona manapend kimoverate sana lisu wakati ni kilaza?
 
Mikutano yake naona anatoa shule kwa Wananchi wa kawaida. Hii kitu CCM wasiiichukulie poa maana Wapiga kura hao wa vijijini wakielemika huwa wanakengeuka mazima. Jamaa yupo serious, na CHADEMA wakimzungua akianzisha Chama, CHADEMA kwisha habari yake
ephen_ mlete Lucas Mwashambwa aje aisome hii post 🤣🤣🤣
 
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha

Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼

Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄
Mke wake ni C.I.A, mzungu, huwezi jua, labda hilo shirika la kijasusi linafadhili
 
Lisu hafai kupewq nafasi ya kueleza jambo , chawa hao 😀😀. Wanatamani jamaa awe bubu
😂 😂 😂 😂
Inawezekana wanamroga sana yaani CCM ni Wadwanzi kinoma nakumbuka hata ile ishu ya mkataba wa bandari kule Mbeya. RC aliwaita Machifu wote wamroge Mwabukusi 🤣🤣🤣
 
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha

Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼

Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄
Huenda amekuibia, cheki mifuko yako.
 
Hiyo ndiyo CHADEMA nguvu moja hakuna mtafaruku kama ambavyo propaganda za chama dola kongwe CCM inavyoombea.
CCM wanatamani chadema iparaganyike.watasubiri sana hili lichama linaenda kwa mchakato wa kidemokrasia kama lilivyo jina lake. halina mtafaruku.
 
Hiyo ndiyo CHADEMA nguvu moja hakuna mtafaruku kama ambavyo propaganda za chama dola kongwe CCM inavyoombea.
Kungekuwa hakuna mtafaruku basi Lissu asingesuswa kiasi hiki. Makamu mwenyekiti wa chama kuzunguka peke yake ni ushahidi usiotia shaka kwamba wenzake wamemsusa. WanaCCM tunampongeza sana Mbowe kwa kumsusa Lissu. Ikiwezekana amfukuze kabisa.
 
Back
Top Bottom