peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yule bibi akiwa mgombea 2025, hawezi kwenda Kijiji kwa Kijiji. Umri ni shida, na ule mwilinna vumbi hawezi.Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄
Hii ni mbinu mpya ya chadema