Pre GE2025 Tundu Lissu anapata wapi nguvu ya kufanya Mikutano wiki 3 mfululizo Kijiji kwa Kijiji?

Pre GE2025 Tundu Lissu anapata wapi nguvu ya kufanya Mikutano wiki 3 mfululizo Kijiji kwa Kijiji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Leo SPANA za LISSU na MSIGWA zinendelea Mjini Singidani mpaka Watu wacheue Mtukuru wa kuhongwa na CCM.😝
 
Tanzania wanachagua MTU

Ndio Sababu Lowassa alipata Kura nyingi za wanaCCM japo alikuwa Chadema
'SMART CAMPAIGN' itabadilisha yote hayo.
Tanzania haiwezi kuendelea kuwa gizani miaka yote, nyakati zimebadilika.
 
'SMART CAMPAIGN' itabadilisha yote hayo.
Tanzania haiwezi kuendelea kuwa gizani miaka yote, nyakati zimebadilika.
Smart campaign watafanya Mbowe na Mrema kwa Chopa

Huyu Tundu Lisu ataendelea kuungwa mkono Kijiji kwa Kijiji hadi tuimalize Tanganyika yote dadeki 😂😂🔥
 
Smart campaign watafanya Mbowe na Mrema kwa Chopa

Huyu Tundu Lisu ataendelea kuungwa mkono Kijiji kwa Kijiji hadi tuimalize Tanganyika yote dadeki 😂😂🔥
Uzuri ni kwamba shughuli hiyo itamsaidia kupunguza kitambi!
Hili ni tatizo ambalo itabidi aliwekee umuhimu wake.
 
labda swali lingekuwa anapata wapi pesa?
Kumfukuza mwanasiasa uhamishoni tena akiwa na risasi mwilini ni kumtengenezea pesa. Lissu na familia yake siyo watu tena wa kutegemea pesa ya madafu kuendesha mambo yake. Au tuseme anatumia michango anayochangiwa kununua gari jipya.
 
Tatizo watu anaowahutubia likipita gari la pilau na soda za jamkaya wote wanawahi kihepe
Ni sawa waende wakale, lakini kilichoingia ubongoni mwao hakifutiki kirahisi. TL anafanya kazi ya kitume.

Elimu, elimu, elimu by the late Lowasa RIP.
 
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha

Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼

Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha 😄
Labda alipumzk sana kitandani ana energy now...acha atoe sumu mwilini mwaka na duku duku lote
 
Lissu Piga kazi ,wapiga kura wengi ni wa vijijini na wazee.
 
Back
Top Bottom