Pre GE2025 Tundu Lissu anapata wapi nguvu ya kufanya Mikutano wiki 3 mfululizo Kijiji kwa Kijiji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha

Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu 🐼

Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha πŸ˜„
 
Mikutano yake naona anatoa shule kwa Wananchi wa kawaida. Hii kitu CCM wasiiichukulie poa maana Wapiga kura hao wa vijijini wakielemika huwa wanakengeuka mazima. Jamaa yupo serious, na CHADEMA wakimzungua akianzisha Chama, CHADEMA kwisha habari yake
 
Unakumbuka Ile Ya Dodoma Alipofafanua Katiba Nchi Ikawa Juu

CCM Walishindwa Kujibu Hoja Wao Wanasema Asitugawe Hawataji Vifungu Vya Katiba
 
Unakumbuka Ile Ya Dodoma Alipofanunua Katiba Nchi Ikawa Juu
CCM Walishindwa Kujibu Hoja Wao Wanasema Asitugawe Hawataji Vifungu Vya Katiba
Hii elimu anayotoa Lissu siyo ya kitoto unakuta mkutano wote kimyaaa wanakula chakula ya ubongo. Mazwazwa Makalla na bosi wake Nchimbi wanatoa pumba tu kumjadili Lissu badala ya kupangua hoja zake.
 
..umesahau Sosopi na Askofu Mwanamapinduzi.
 
Nguvu anaipata toka kwa Mungu wa mbingini aliyemwepusha na kifo kilichopangwa na yule shetani, nduli. aliyelala pale chato
 
K
Itafahamika hizo nguvu anatoa wapo mzee mangi anamfuatilia kwa karibu!
 
Si mlisema hayupo CDM? Anatumia chama gani kufanya mikutano Kijiji to kijiji?😑😑😑😑😑
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…