peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Yule bibi akiwa mgombea 2025, hawezi kwenda Kijiji kwa Kijiji. Umri ni shida, na ule mwilinna vumbi hawezi.Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu ๐ผ
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha ๐
Amekua kasi sana!
Mwamba huyu hapaHata maandalizi ya majukwaa hua ni chap kwa haraka ili wasipoteze muda kwenda kugawa elimu sehemu nyingine.
View attachment 3011324
Kuna kitu kinaitwa 'burn out'. Awe mwangalifu sana asijikute nguvu zinamwishia hata kabla ya kufikia nusu ya lengo.Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu ๐ผ
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha ๐
Ni kweliKipara bila akili ni Sawa tako
Mwalimu Nyerere aliwahi kutumia majukwaa kama haya?Mwamba huyu
Mwamba huyu hapa
LISU NI MWALIMU WA URAIA NA MAARIFA YA JAMII..WAKATI ANASAKA UBUNGE MWAKA 2010..ALIENDA NA MAGARI MAPYA AKAZUNGUKA MIAKA MINNE KUANZIA 2006 MPAKA 2010. SOMO LILIKUWA KALI NA LA KUELEWEKA. KILA KIJIJI WALIMJUA MWAMBA.MKOA MZIMA ALIPITA KILA KIJIJI..HATA KAMA NI NDANI KIASI GANI JAMAAA ALIFIKA ..MPAKA KWENYE VITONGOJI..GARI ZIKACHAKAA.. SOMO LILIELEWEKA WANYATURU WAKAWA WABISHI, HUWAMBII KITU, 2010 JAMAAA ALIBEBA JIMBO KIULAINI SANAUkiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu ๐ผ
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha ๐
Hakuna mtafaruku..hapo LISU anajua anachosimamia.hata 2006. Ilikuwa hivyo Singida..alizunguka Mkoa akiwa peke yake..Kungekuwa hakuna mtafaruku basi Lissu asingesuswa kiasi hiki. Makamu mwenyekiti wa chama kuzunguka peke yake ni ushahidi usiotia shaka kwamba wenzake wamemsusa. WanaCCM tunampongeza sana Mbowe kwa kumsusa Lissu. Ikiwezekana amfukuze kabisa.
Hili la ubunge ni sahihi kabisa kufanya kama ulivyo elezea, lakini kwa Tanganyika nzima, haliwezekani. Ni lazima pawepo na mkakati maalum unaomwezesha kuvuna alichopanda hata katika sehemu ambazo hakupata nafasi ya kuzifikia kwa mikutano.LISU NI MWALIMU WA URAIA NA MAARIFA YA JAMII..WAKATI ANASAKA UBUNGE MWAKA 2010..ALIENDA NA MAGARI MAPYA AKAZUNGUKA MIAKA MINNE KUANZIA 2006 MPAKA 2010. SOMO LILIKUWA KALI NA LA KUELEWEKA. KILA KIJIJI WALIMJUA MWAMBA.MKOA MZIMA ALIPITA KILA KIJIJI..HATA KAMA NI NDANI KIASI GANI JAMAAA ALIFIKA ..MPAKA KWENYE VITONGOJI..GARI ZIKACHAKAA.. SOMO LILIELEWEKA WANYATURU WAKAWA WABISHI, HUWAMBII KITU, 2010 JAMAAA ALIBEBA JIMBO KIULAINI SANA
Nadhani ameanzia nyumbaniHili la ubunge ni sahihi kabisa kufanya kama ulivyo elezea, lakini kwa Tanganyika nzima, haliwezekani. Ni lazima pawepo na mkakati maalum unaomwezesha kuvuna alichopanda hata katika sehemu ambazo hakupata nafasi ya kuzifikia kwa mikutano.
Na ni vizuri.Nadhani ameanzia nyumbani
Inaonekana atazunguka Nchi nzimaNa ni vizuri.
Na huko mbeleni achague maeneo ya kimkakati, magumu, akayalainishe kabla ya uchaguzi.
Haitoshi, na wala siyo lazima. Enzi hizi siyo za kufanya kampeni za aina hiyo. Awe 'smart'. Hivyo ni kujichosha bure.Inaonekana atazunguka Nchi nzima
SAWA.Nadhani ameanzia nyumbani
Watakaosoma katikati ya mistari ndio watakuelewa,ila ukiwa hoyahoya utatoka kapa๐Ukiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu ๐ผ
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha ๐
Tumpime mkojo, asije akawa anatumia madawa kujiboostUkiondoa nyakati za Kampeni za Uchaguzi sijawahi kumshuhudia Tundu Lissu akifanya Mikutano kwa spidi hii tena wakiwa wawili tu kutoka Chadema HQ yaani yeye mwenyewe na Twaha Mwaipaya wa Bavicha
Kama ndio kaianza safari ya kuelekea October 2025, basi ni hatari na nusu ๐ผ
Mungu wa mbinguni awabariki TAL na Twaha ๐
Tanzania ni nchi ya akina ThomasoHaitoshi, na wala siyo lazima. Enzi hizi siyo za kufanya kampeni za aina hiyo. Awe 'smart'. Hivyo ni kujichosha bure.
Tanzania wanachagua MTUSAWA.
Baada ya hapo apange 'smart campaign' isiyohitaji kuwa kila sehemu 'physically'.
Hii siyo kampeni ya mtu mmoja, hii ni kampeni ya chama.