Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
Ila wewe unastahili.Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Kumpatia mtu kitu ambacho ni haki yake kikatiba kamwe hayo si maridhiano, na ndicho Tundu Lissu anachokipinga.Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Maslahi ya taifa kwa Sasa kuendelea kuleta umoja wa kitaifa Kwa njia ya maridhiano kama anavyofanya mkiti wake Mbowe ni ombi la upinzani kwa muda mrefuHayo maslahi yako wapi
Hili ni jukwaa huru kama wewe ni mjinga kwenye eneo hilo sio lazima ujibu,Ujinga ni mzigo. Unamuuliza nani hapa kuhusu dhamira ya mtu? Kuna watu wanajua dhamira za wengine humu?
Kwa wenye akili ya kutambua mambo ya uongozi na usimamizi wataelewa nafasi anayostahili LisuUkweli ndio huo, hayo ni mawazo yako tu binafsi kutokana na mtazamo wako, akili yako na uelewa wako.
Sio ishu ya SI unit, Bali kuna kitu kinaitwa sifa za kiongozi bora (leader) na sifa za msimamizi mzuri (manager)Unapimaje uwezo wa mtu...Kuweza ongoza au lah..Je wewee ni SI unit ya Election ??
Huyo anaingiaje hapa kwenye mada,Yule wa Chato, hekima na busara yake ilikaa vizuri?
Mbona miaka yote hiyo haki ilipotea na alishindwa kuirejesha?Kumpatia mtu kitu ambacho ni haki yake kikatiba kamwe hayo si maridhiano, na ndicho Tundu Lissu anachokipinga.
Kajifunzeni maana ya ridhaa.
Haijarishi ilipotea miaka au karne ngapiMbona miaka yote hiyo haki ilipotea na alishindwa kuirejesha?
Na nyie wafuasi wake mbona mlishindwa kuitetea kwa njia mnazodhani ni sahihi kuipata ?
SI aliitisha maandamano ni mwanachama Gani wa chadema aliyejitokeza , zaidi ya kujificha mtandaoni kinafiki
Mpaka walipokaa viongozi wenye busara na hekima wakairudisha hiyo haki
Leo jamaa anabwatuka TU ovyo kwa haki aliyoshindwa kuitetea
Sio kila kitu kinahitaji hasira na manguvu
Kwanini miaka yote mlishindwa kuitetea hiyo haki ya katiba kwa njia mnaodhani ni sahihi kwenu ?Mikutano iko kikatiba na sio kwa sababu ya maridhiano. Hayo maridhiano ni ya Mbowe na Samia na sio ya chama. Kama mliweza kumuachia Magufuli akawa rais, Kwanini isiwe Lisu?
Lisu ndo mpinzani wa kweliWadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Tukitaka kujua kuwa wewe ni kiongozi bora ,ungependa watu wafanye nini?Sio ishu ya SI unit, Bali kuna kitu kinaitwa sifa za kiongozi bora (leader) na sifa za msimamizi mzuri (manager)
Kwa hiyo ulikuwa unasubiri ije yenyewe ?Haijarishi ilipotea miaka au karne ngapi