Tundu Lissu anaponda maridhiano kwa nia njema au anahofia nafasi yake ya ugombea urais 2025?

Tundu Lissu anaponda maridhiano kwa nia njema au anahofia nafasi yake ya ugombea urais 2025?

Kwanini miaka yote mlishindwa kuitetea hiyo haki ya katiba kwa njia mnaodhani ni sahihi kwenu ?
Chama kilipoitisha maandamano nani alijitokeza zaidi ya kujificha kwenye mitandao na I'd fake,
Wakati mwingine tuwe wa kweli tuache unafiki

Huyo aliyezuia hiyo mikutano ungemwambia akae mbele kuzuia na hayo maandamano, na sio kuagiza vyombo vya dola, hapo ndio ungepima vizuri watu kutokotekea kwenye hayo maandamano. Fahamu waandamanaji hawakuwa na silaha.
 
Wadau ni swali najiuliza

Kwamba huyu mgombea urais 2020

Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio

Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano

Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake

Kwa maoni yangu

Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Kwani hekima ya mtu hupimwa kwa kuwa zezeta? Kukubali uhalamia wa ccm ndo hekima hiyo au? Hujui kwamba kukataza mikutano ilikuwa Kosa kubwa sana na kamwe isiwe hisani ya rais. Hata jpm mwenyewe ilikuwa swala la muda tu kingewaka na angekimbia mwenyewe urais tu. Nchi tayari ilikuwa inatengeneza vikundi vya kigaido kwa Kasi ya ajabu ambapo one day angepinduliwa au kuuawa kwa risasi tofauti na jinsi alivyoiawa kisomi sana
 
Huyo aliyezuia hiyo mikutano ungemwambia akae mbele kuzuia na hayo maandamano, na sio kuagiza vyombo vya dola, hapo ndio ungepima vizuri watu kutokotekea kwenye hayo maandamano. Fahamu waandamanaji hawakuwa na silaha

Huyo aliyezuia hiyo mikutano ungemwambia akae mbele kuzuia na hayo maandamano, na sio kuagiza vyombo vya dola, hapo ndio ungepima vizuri watu kutokotekea kwenye hayo maandamano. Fahamu waandamanaji hawakuwa na silaha.
Ndo maana nikasema wanachama wengi wa chadema mna ujasiri wa kudai haki zenu kupitia keyboard TU Tena kupitia ID fake , na huo ndo unafiki mkubwa , kama mnatishiwa tu wanachama zaidi million sita msiandamane na unaufyata nani atakayewaamini tena
Tena ambayo ni haki yenu
Ndo maana viongozi wenye akili na busara wameshajua uoga na unafiki wa wanachama wao wakatafuta njia mbadala ya kupata haki kupitia mariadhiano
 
Lisu ndo mpinzani wa kweli
Elezea ueleweke mkuu
Au upinzani kuropoka ovyo ,
Na kupinga Kila kitu hata kama kina maslahi kwa taifa ,mbinu anazotumia ni za kizamani hazina matokeo ya maana
 
Wadau ni swali najiuliza

Kwamba huyu mgombea urais 2020

Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio

Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano

Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake

Kwa maoni yangu

Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa

Tatizo ni upeo wako, Kama Lisu angekuwa mtu maslahi angekuwa mbali sana
 
Wewe hujajibu hoja..Kuna wakati matumbo huongea badala ya Mdomo...!!HoH

Wewe hujajibu hoja..Kuna wakati matumbo huongea badala ya Mdomo...!!
Huna hoja mkuu , ndo maana nikakupa home work ya kusoma sifa za kiongozi Bora au soma vita vya uongozi,
Kiongozi aangalii watu wanafanya Nini Bali huongoza watu njia na Nini Cha kufanya
 
Kwa hiyo ulikuwa unasubiri ije yenyewe ?
Watu WA aina yako hamna mchango wa maana ktk kudai na kutafuta haki
Nikionekana wa maana kwa watu kama wewe nitakua loser, ni afadhali undelee sina maana zaidi ya hapo, kwangu ni indication of being the top notche.
Jikete ingaambili iji
 
Mimi naamini maridhiano ni hatua nzuri kwa vile ni sehemu ya demokrasia na uhuru, tatizo tuwe specific kuwa maridhiano yanapaswa yawe inclusive ili kujenga uwanja wa kuaminiana mfano suala la covid 19 lilipaswa lipate ufumbuzi mapema ratiba ya kuiendea katiba bora na mpya hata kabla ya uchaguzi 2025. haya ni baadhi tu ya mambo muhimu kurutubisha maridhiano otherwise ni mazuri.
 
Ndo maana nikasema wanachama wengi wa chadema mna ujasiri wa kudai haki zenu kupitia keyboard TU Tena kupitia ID fake , na huo ndo unafiki mkubwa , kama mnatishiwa tu wanachama zaidi million sita msiandamane na unaufyata nani atakayewaamini tena
Tena ambayo ni haki yenu
Ndo maana viongozi wenye akili na busara wameshajua uoga na unafiki wa wanachama wao wakatafuta njia mbadala ya kupata haki kupitia mariadhiano
Tutaandamana tukiwa tayari wengi zaidi, na hatuwezi kuacha kahamasisha kisa watu ni waoga. Mbona ww usiye muoga au mfuasi wa CDM hatumii verified I'd, ama na ww unamuogopa nani? Kumbuka kuandamana ni jambo litakalopelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, kwenye hilo kila mtu ana vipimo vyake, na sio kutaka ww uridhike.

Hizo busara za maridhiano fake hatuna muda nazo, hao viongozi wanaotaka maridhiano waendelee, na wanaoona maridhiano ni utapeli watatumia mbinu nyingine. Sasa ww unatufokea sijui ni kwa sababu gani.
 
Kwani hekima ya mtu hupimwa kwa kuwa zezeta? Kukubali uhalamia wa ccm ndo hekima hiyo au? Hujui kwamba kukataza mikutano ilikuwa Kosa kubwa sana na kamwe isiwe hisani ya rais. Hata jpm mwenyewe ilikuwa swala la muda tu kingewaka na angekimbia mwenyewe urais tu. Nchi tayari ilikuwa inatengeneza vikundi vya kigaido kwa Kasi ya ajabu ambapo one day angepinduliwa au kuuawa kwa risasi tofauti na jinsi alivyoiawa kisomi sana
Acha unafiki mkuu,
Kiuhalisia wafuasi wengi wa chadema ni waoga na wanafiki na ujasiri wa mitandao kupitia Id fake ,
Viongozi wa Chama wametumia mbinu mbalimbali za kudai haki zenu lakini
Wafuasi wao wamewaangusha sana kwa sababu ya uoga na unafiki
Kama mlimwogopa kiongozi mmoja TU wa awamu iliyopita aliyekanyaga haki za kikatiba mkaufyata
Huyo Lisu alipopigwa risasi hadharani nani alidhubutu kuandamana kupinga ukatili ule hata kufanya mkusanyiko wa amani TU mlishindwa
Lo mnajidai hamtaji haki Kwa njia za mariadhiano unafiki mtupu
Anyway pengine mlimwogopa sana Magufuli,
Je Mkiti alipokamatwa akidai katiba mpya kwenye awamu hii nani aliyedhubutu kuandamana kudai kuachiliwa kwake
mienzi kadhaa mlikaa kupiga kelele mtandaoni freembowe
Huku mkilala na familia zenu siyo
kwa Uoga unafiki na kutojitambua kwa wafuasi walio wengi wa upinzani kumefanya
Viongozi wenye akili kama mkiti wa Cdm watumie njia ya maridhiano
 
Tutaandamana tukiwa tayari wengi zaidi, na hatuwezi kuacha kahamasisha kisa watu ni waoga. Mbona ww usiye muoga au mfuasi wa CDM hatumii verified I'd, ama na ww unamuogopa nani? Kumbuka kuandamana ni jambo litakalopelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, kwenye hilo kila mtu ana vipimo vyake, na sio kutaka ww uridhike.

Hizo busara za maridhiano fake hatuna muda nazo, hao viongozi wanaotaka maridhiano waendelee, na wanaoona maridhiano ni utapeli watatumia mbinu nyingine. Sasa ww unatufokea sijui ni kwa sababu gani.
Ndo Yale Yale ya tundu lisu ya kuropoka bila kuwa na njia mbadala
Huo ni upambavu kupinga kila jambo bila kuwa na mbadala
Leo bila aibu mnampinga Hadi mwenyekiti wenu ambae ndo kiongozi wenu,
Eti mnasubiri muwe wengi ndo mdai haki ,hao wengi mnasubiri kutoka wapi,nani atakayewaunga mkono kama nyie wachache mnashindwa kuonyesha njia ya kudai haki
Tukubali mkiti mbowe ana hekima na busara ndo maana kashawajua wafuasi wake wengi walivyo
kaamua kutumia njia sahihi ya Maridhiano
 
Back
Top Bottom