Kwanini miaka yote mlishindwa kuitetea hiyo haki ya katiba kwa njia mnaodhani ni sahihi kwenu ?
Chama kilipoitisha maandamano nani alijitokeza zaidi ya kujificha kwenye mitandao na I'd fake,
Wakati mwingine tuwe wa kweli tuache unafiki
Tafuta sifa za kiongozi Bora ,hata ukigoogle unaweza kuzisoma, hatuna kitu kinaitwa SI unit kwenye uongoziTukitaka kujua kuwa wewe ni kiongozi bora ,ungependa watu wafanye nini?
Kwani hekima ya mtu hupimwa kwa kuwa zezeta? Kukubali uhalamia wa ccm ndo hekima hiyo au? Hujui kwamba kukataza mikutano ilikuwa Kosa kubwa sana na kamwe isiwe hisani ya rais. Hata jpm mwenyewe ilikuwa swala la muda tu kingewaka na angekimbia mwenyewe urais tu. Nchi tayari ilikuwa inatengeneza vikundi vya kigaido kwa Kasi ya ajabu ambapo one day angepinduliwa au kuuawa kwa risasi tofauti na jinsi alivyoiawa kisomi sanaWadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Ndio ukweli,Lisu ndo mpinzani wa kweli
Huyo aliyezuia hiyo mikutano ungemwambia akae mbele kuzuia na hayo maandamano, na sio kuagiza vyombo vya dola, hapo ndio ungepima vizuri watu kutokotekea kwenye hayo maandamano. Fahamu waandamanaji hawakuwa na silaha
Ndo maana nikasema wanachama wengi wa chadema mna ujasiri wa kudai haki zenu kupitia keyboard TU Tena kupitia ID fake , na huo ndo unafiki mkubwa , kama mnatishiwa tu wanachama zaidi million sita msiandamane na unaufyata nani atakayewaamini tenaHuyo aliyezuia hiyo mikutano ungemwambia akae mbele kuzuia na hayo maandamano, na sio kuagiza vyombo vya dola, hapo ndio ungepima vizuri watu kutokotekea kwenye hayo maandamano. Fahamu waandamanaji hawakuwa na silaha.
Elezea ueleweke mkuuLisu ndo mpinzani wa kweli
Kuongea na kupinga kila jambo bila kutoa suluhu au mbadala ni kuropoka tu na sio uongozi huoNdiye kiongozi pekee anayeongea Jambo la kuaminika nchi hii.
Wewe hujajibu hoja..Kuna wakati matumbo huongea badala ya Mdomo...!!Tafuta sifa za kiongozi Bora ,hata ukigoogle unaweza kuzisoma, hatuna kitu kinaitwa SI unit kwenye uongozi
Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Ungekua na upeo mzuri ungelielewa swali languTatizo ni upeo wako, Kama Lisu angekuwa mtu maslahi angekuwa mbali sana
Ungekua na upeo mzuri ungelielewa swali langu
Wewe hujajibu hoja..Kuna wakati matumbo huongea badala ya Mdomo...!!HoH
Huna hoja mkuu , ndo maana nikakupa home work ya kusoma sifa za kiongozi Bora au soma vita vya uongozi,Wewe hujajibu hoja..Kuna wakati matumbo huongea badala ya Mdomo...!!
Nikionekana wa maana kwa watu kama wewe nitakua loser, ni afadhali undelee sina maana zaidi ya hapo, kwangu ni indication of being the top notche.Kwa hiyo ulikuwa unasubiri ije yenyewe ?
Watu WA aina yako hamna mchango wa maana ktk kudai na kutafuta haki
Toka lini kuongoza ng'ombe kunahitaji busaraYule wa Chato, hekima na busara yake ilikaa vizuri?
Tutaandamana tukiwa tayari wengi zaidi, na hatuwezi kuacha kahamasisha kisa watu ni waoga. Mbona ww usiye muoga au mfuasi wa CDM hatumii verified I'd, ama na ww unamuogopa nani? Kumbuka kuandamana ni jambo litakalopelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, kwenye hilo kila mtu ana vipimo vyake, na sio kutaka ww uridhike.Ndo maana nikasema wanachama wengi wa chadema mna ujasiri wa kudai haki zenu kupitia keyboard TU Tena kupitia ID fake , na huo ndo unafiki mkubwa , kama mnatishiwa tu wanachama zaidi million sita msiandamane na unaufyata nani atakayewaamini tena
Tena ambayo ni haki yenu
Ndo maana viongozi wenye akili na busara wameshajua uoga na unafiki wa wanachama wao wakatafuta njia mbadala ya kupata haki kupitia mariadhiano
Acha unafiki mkuu,Kwani hekima ya mtu hupimwa kwa kuwa zezeta? Kukubali uhalamia wa ccm ndo hekima hiyo au? Hujui kwamba kukataza mikutano ilikuwa Kosa kubwa sana na kamwe isiwe hisani ya rais. Hata jpm mwenyewe ilikuwa swala la muda tu kingewaka na angekimbia mwenyewe urais tu. Nchi tayari ilikuwa inatengeneza vikundi vya kigaido kwa Kasi ya ajabu ambapo one day angepinduliwa au kuuawa kwa risasi tofauti na jinsi alivyoiawa kisomi sana
Ndo Yale Yale ya tundu lisu ya kuropoka bila kuwa na njia mbadalaTutaandamana tukiwa tayari wengi zaidi, na hatuwezi kuacha kahamasisha kisa watu ni waoga. Mbona ww usiye muoga au mfuasi wa CDM hatumii verified I'd, ama na ww unamuogopa nani? Kumbuka kuandamana ni jambo litakalopelekea baadhi ya watu kupoteza maisha, kwenye hilo kila mtu ana vipimo vyake, na sio kutaka ww uridhike.
Hizo busara za maridhiano fake hatuna muda nazo, hao viongozi wanaotaka maridhiano waendelee, na wanaoona maridhiano ni utapeli watatumia mbinu nyingine. Sasa ww unatufokea sijui ni kwa sababu gani.