Gift mzalendo
JF-Expert Member
- Dec 13, 2019
- 1,856
- 2,417
- Thread starter
-
- #41
Umeamua kujishusha mwenyewe, huwezi kukaa na kusubiri tu haki ije yenyewe bila kuchukua hatua , eti hata karneNikionekana wa maana kwa watu kama wewe nitakua loser, ni afadhali undelee sina maana zaidi ya hapo, kwangu ni indication of being the top notche.
Jikete ingaambili iji
Unazidi kudhirisha upeo wako ulivyoNimelielewa, ni swali la hovyo
Ndo Yale Yale ya tundu lisu ya kuropoka bila kuwa na njia mbadala
Huo ni upambavu kupinga kila jambo bila kuwa na mbadala
Leo bila aibu mnampinga Hadi mwenyekiti wenu ambae ndo kiongozi wenu,
Eti mnasubiri muwe wengi ndo mdai haki ,hao wengi mnasubiri kutoka wapi,nani atakayewaunga mkono kama nyie wachache mnashindwa kuonyesha njia ya kudai haki
Tukubali mkiti mbowe ana hekima na busara ndo maana kashawajua wafuasi wake wengi walivyo
kaamua kutumia njia sahihi ya Maridhiano
Acha unafiki mkuu,
Kiuhalisia wafuasi wengi wa chadema ni waoga na wanafiki na ujasiri wa mitandao kupitia Id fake ,
Viongozi wa Chama wametumia mbinu mbalimbali za kudai haki zenu lakini
Wafuasi wao wamewaangusha sana kwa sababu ya uoga na unafiki
Kama mlimwogopa kiongozi mmoja TU wa awamu iliyopita aliyekanyaga haki za kikatiba mkaufyata
Huyo Lisu alipopigwa risasi hadharani nani alidhubutu kuandamana kupinga ukatili ule hata kufanya mkusanyiko wa amani TU mlishindwa
Lo mnajidai hamtaji haki Kwa njia za mariadhiano unafiki mtupu
Anyway pengine mlimwogopa sana Magufuli,
Je Mkiti alipokamatwa akidai katiba mpya kwenye awamu hii nani aliyedhubutu kuandamana kudai kuachiliwa kwake
mienzi kadhaa mlikaa kupiga kelele mtandaoni freembowe
Huku mkilala na familia zenu siyo
kwa Uoga unafiki na kutojitambua kwa wafuasi walio wengi wa upinzani kumefanya
Viongozi wenye akili kama mkiti wa Cdm watumie njia ya maridhiano
LissuKuongea na kupinga kila jambo bila kutoa suluhu au mbadala ni kuropoka tu na sio uongozi huo
Maridhiano ni mbinu inayotumika na CCM ili kupunguza kupingwa, exactly maridhiano ni utapeli utapeli, lengo la maridhiano ni kumsafishia njia Samia na CCM 2023.Tuandamane kuhusu Mbowe kukamatwa ili iweje kwa mfano? Wafuasi wameshachangia sana kwa nafasi yao na sio lazima kuandamana. Kwani huyo Mbowe alipokuwa akitembelea VX uliwahi kuwaona wafuasi wake wakienda kumuomba lift? Kama alikamatwa ni sehemu ya mapambano, na ifahamike pia ameshakuwa mfaidika sana wa hicho cheo kupitia CDM. Labda umtaje mfuasi mwingine wa CDM aliyefaidika na uwepo wa CDM kuliko yeye.
Ni kweli watu ni waoga, lakini hakuna haja ya kutokuwa muangalifu wakati kuna viongozi waliochaguliwa kupitia CDM, kisha tukasimama kidete kulinda ushindi wao, hatimae wakaishia kwenda kuunga mkono juhudi. Mfano halisi ni Nasari, Silinde, nk. Watu wamepata hadi vilema na matatizo lukuki, huyo mwenyekiti aliwafidia maisha yao? Tuna akili zetu timamu usituone kuwa ni mafala, tunajua fika maridhiano ni utapeli kama utapeli mwingine, hiyo unayosema ni busara ni kimpango wako. Busara ya kufanywa zombie baki nayo na mumeo.
Kama unashindwa kumuheshimu hata mkiti wako wa chama, ambaye pia ni kiongozi wa juu huoni wewe utakuwa ni mropokaji tuTuandamane kuhusu Mbowe kukamatwa ili iweje kwa mfano? Wafuasi wameshachangia sana kwa nafasi yao na sio lazima kuandamana. Kwani huyo Mbowe alipokuwa akitembelea VX uliwahi kuwaona wafuasi wake wakienda kumuomba lift? Kama alikamatwa ni sehemu ya mapambano, na ifahamike pia ameshakuwa mfaidika sana wa hicho cheo kupitia CDM. Labda umtaje mfuasi mwingine wa CDM aliyefaidika na uwepo wa CDM kuliko yeye.
Ni kweli watu ni waoga, lakini hakuna haja ya kutokuwa muangalifu wakati kuna viongozi waliochaguliwa kupitia CDM, kisha tukasimama kidete kulinda ushindi wao, hatimae wakaishia kwenda kuunga mkono juhudi. Mfano halisi ni Nasari, Silinde, nk. Watu wamepata hadi vilema na matatizo lukuki, huyo mwenyekiti aliwafidia maisha yao? Tuna akili zetu timamu usituone kuwa ni mafala, tunajua fika maridhiano ni utapeli kama utapeli mwingine, hiyo unayosema ni busara ni kimpango wako. Busara ya kufanywa zombie baki nayo na mumeo.
Kwa hiyo unataka lisu awe anaipongeza serikali kwa kila kitu ilibkuonesha Kuna maridhiano?Acha unafiki mkuu,
Kiuhalisia wafuasi wengi wa chadema ni waoga na wanafiki na ujasiri wa mitandao kupitia Id fake ,
Viongozi wa Chama wametumia mbinu mbalimbali za kudai haki zenu lakini
Wafuasi wao wamewaangusha sana kwa sababu ya uoga na unafiki
Kama mlimwogopa kiongozi mmoja TU wa awamu iliyopita aliyekanyaga haki za kikatiba mkaufyata
Huyo Lisu alipopigwa risasi hadharani nani alidhubutu kuandamana kupinga ukatili ule hata kufanya mkusanyiko wa amani TU mlishindwa
Lo mnajidai hamtaji haki Kwa njia za mariadhiano unafiki mtupu
Anyway pengine mlimwogopa sana Magufuli,
Je Mkiti alipokamatwa akidai katiba mpya kwenye awamu hii nani aliyedhubutu kuandamana kudai kuachiliwa kwake
mienzi kadhaa mlikaa kupiga kelele mtandaoni freembowe
Huku mkilala na familia zenu siyo
kwa Uoga unafiki na kutojitambua kwa wafuasi walio wengi wa upinzani kumefanya
Viongozi wenye akili kama mkiti wa Cdm watumie njia ya maridhiano
Nashukuru umelezea kile nilichokua nafiria kuwa Lisu ana hofu ya nafasi yake ya kugombea uraisLissu
Maridhiano ni mbinu inayotumika na CCM ili kupunguza kupingwa, exactly maridhiano ni utapeli utapeli, lengo la maridhiano ni kumsafishia njia Samia na CCM 2023.
Maridhiano=Mbowe+Samia✅Mikutano iko kikatiba na sio kwa sababu ya maridhiano. Hayo maridhiano ni ya Mbowe na Samia na sio ya chama. Kama mliweza kumuachia Magufuli akawa rais, Kwanini isiwe Lisu?
Kabisa, halafu ni kama Mbowe hajastuka kuwa anaingizwa mjini. Wanaccm wanampamba kuwa ni mtu mwenye busara, lengo ni kumpumbaza. Hayo maridhiano yana faida zaidi kwa Samia na chama chake, na wala sio CDM kama chama.Lissu
Maridhiano ni mbinu inayotumika na CCM ili kupunguza kupingwa, exactly maridhiano ni utapeli utapeli, lengo la maridhiano ni kumsafishia njia Samia na CCM 2023.
Kama unashindwa kumuheshimu hata mkiti wako wa chama, ambaye pia ni kiongozi wa juu huoni wewe utakuwa ni mropokaji tu
Wanachama wenye akili wanakuwa na nidhamu kwa viongozi wao haswa public, kama wamekosea Kuna vikao vya ndani vya kurekebishana
Sio kuropoka ovyo kama Lisu, kwanini asiombe kikao Cha chama wakae wakubaliane au apinge ndani chama ,
Kama ishu ya maslahi mnaona mkiti anafaidi sana kwanini msigombee nanyie hiyo nafasi si haki ya Kila mwanachama ila uonyeshe njia mbadala tofouti na ya mkiti aliyepo
Tayari umeshahama kwenye hoja ya msingi, haya, kila la kheri, kawasalimie huko ulipohamia.Umeamua kujishusha mwenyewe, huwezi kukaa na kusubiri tu haki ije yenyewe bila kuchukua hatua , eti hata karne
Tundu Lissu ndiye mfaidika namba 1 wa maridhiano kati ya Serikali na upinzani. Isingekuwa maridhiano sasa hivi angekuwa bado yuko Belgium anasubiri posho za UNHCR.Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Nashukuru mkuu kwa kuliona Hilo,Tundu Lissu ndiye mfaidika namba 1 wa maridhiano kati ya Serikali na upinzani. Isingekuwa maridhiano sasa hivi angekuwa bado yuko Belgium anasubiri posho za UNHCR.
HAKUNA maridhiano ambayo "mshindi huchukua yote" (winner takes all) bali maridhiano ni "nipe nikupe" (give and take)
Sasa mfaidika namba MOJA wa maridhiano anasema HOVYO, ni sawa na kujiweka kitanzi chake
Wewe hujui hata Nini unataka au unachosimamia ndani ya chadema,Kumheshimu mwenyekiti sio kugeuzwa zombie, kama mwenyekiti anakuja na agenda zake za mfukoni unasimamia matarajio ya wafuasi, sisi Wafuasi ndio tutajua nani anasimamia tunachotaka. Hii kumuheshimu mwenyekiti ndio tuliishia kuchomekewa Lowassa yule mzee tapeli la kisiasa.
Akae pembeni ufanyike uchaguzi usio na mazonge. Na asipousoma mchezo atajikuta anabaki na wanaccm wakimuunga mkono, huku wafuasi wa cdm wakisimama na Tundu Lisu. Mpakeni Mbowe mafuta kwa mgongo wa chupa, huku akizidi kupoteza ushawishi chamani mwake. Huko CCM mwenyekiti ndio anaamua chochote atakacho kwani ni rais, na ndio mwenye uwezo wa kugawa vyeo. Mwenyekiti wa CDM heshima iko kwenye msimamo, sio kwenye maridhiano ambayo unaona kabisa hayatekelezwi.
Kikao cha nini, huko kwenye vikao ndio anakaa analazimisha agenda zake ambazo watu hawakubaliani nazo. Njia pekee ni kila mmoja aje na agenda yake kwa wafuasi, kisha wafuasi wataonyesha kukubaliana na agenda ipi.
Na kwakukusaidia tu, Mbowe alisema ikifika 2023 at step down kama mwenyekiti, msaidie kumkumbusha hiyo ahadi yake maana ni kama anajikausha. Mwambie hutajasahau ahadi hiyo, tunangoja utekelezaji.
Wewe hujui hata Nini unataka au unachosimamia ndani ya chadema,
Unajua maamuzi ya kamati kuu ya chadema,
Unajua mbowe alivyoenda na wajumbe wenzake mwanza kwenye sikukuu ya Uhuru mambo aliyomwomba rais Magufuli Moja lilikuwa maridhiano
Ishu ya maridhiano chama chako imeomba muda mrefu ila wewe inaonyesha ww ndo agenda zako za Siri
Ishu ya mbowe kuachia nafasi ya uenyekiti hata Mimi ninaliunga mkono mdu mrefu
Isipokuwa muwe na nidhamu kwa uongozi kama kweli mna Nia ya kuwa chama mbadala
Maneno yaliyohitimisha, yanapaswa kuwepo kwenye bango la 2025, yaani hakikisha unaweka bukumaki(bookmark) ya post hii na kuhakikisha unachapisha na kuwatumia wenzako maneno haya kuelekea 2025.Wadau ni swali najiuliza
Kwamba huyu mgombea urais 2020
Je, hakumbuki chama chake kilipambana kutafuta mariadhiano awamu iliyopita bila mafanikio
Je, amesahau haki ya mikutano ya hadhara anayotumia kuponda mariadhiano ilipatikana kupitia hayo mariadhiano
Ni vyema akaangalia zaidi maslahi mapana ya taifa kuliko nafasi yake
Kwa maoni yangu
Tundu Lissu ni mwanasheria na msimamizi mzuri wa utawala wa Sheria lakini hastahili nafasi kubwa ya urais hata uenyekiti wa Chama, hekima na busara yake haijakaa sawa
Nafasi ya Lisssu si Champion wa LGBTKwa wenye akili ya kutambua mambo ya uongozi na usimamizi wataelewa nafasi anayostahili Lisu