Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,984
- 19,288
Kutoka Jambo Tv, Lissu anasema wakiwa wanaandamana inatakiwa polisi wafunge barabara na biashara zifungwe ili kupisha maandamano hayo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lakini pia polisi huzuia maandamano Labda uniambie ni kwa nini pia?Wewe unadhani kwanini polisi hutoa ruhusa ya Maandamano?
Ikibidi kwa namna gani?Ni kwamba tu akili huna na umekurupuka, mimi nilikuwepo right beside jukwaa wakati anaongea haya vizuri sama
Umeona neno " IKIBIDI"
Wakiona yatavunja Amani wanazuiaLakini pia polisi huzuia maandamano Labda uniambie ni kwa nini pia?
Ikibidi kwa namna gani?