Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anatumia ngekewa au kamzizi kukiangamiza CCM na kushawishi watu kumfuata?

Kule namtumbo na Dodoma na singida tuna uranium eti yote Ni ya mafisadi ya maccm yaliyoko dar,
Kama ilivyo gas ya mtwara na Lindi, au dhahabu ya shinyanga

Bila majimbo Haikubaliki
Igweeeeeh ongezea na Mpanda Katuma Lugonesi
 
Duh! Hii kali, lakini huyo baba yenu angalieni bangi wanavuta Chadema lakini analewa yeye.
Chungeni asije vaa boxer kichwani akidhani ni zile kofia anazo wavesha kina Kiba!

sasa uzuri mwingine wanaovuta bangi utawajua tu
 
Ninaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
Hata hoja za majimbo wamejibu kama watoto wa darasa la saba. Hii dhana ni nzito na mwelekeo wa dunia sasa hivi. Hoja za Mheshimiwa Lissu ni another level. Mafisiem hawawezi kujibu kiakili wakaeleweka.
 
Hata hoja za majimbo wamejibu kama watoto wa darasa la saba. Hii dhana ni nzito na mwelekeo wa dunia sasa hivi. Hoja za Mheshimiwa Lissu ni another level. Mafisiem hawawezi kujibu kiakili wakaeleweka.


so far hakuna hoja ya maaana lissu aliongea, anaeleweka na wana saccos wenzake! most of the things anaongea are totally wrong, sheria sijui, na sio fun wa sheria sana!!!

ila economics, ni aibu ata kusema ni mtu wa tanzania, anashindwa hata basic economics na katoto kanachojua savings

- no wonder alisoma HGE, alitumia mda mwingi kujifunza kuandika IMLA, sasa anataka kubattle na PHD ya kemia, WTF!
 
Msijifariji sana, huwa nasema na leo narudia tena, hakuna njia ya box la kura itaiondoa CCM madarakani hata iwe miaka 1000 ijayo kama mtategemea kutumia box la kura kuitoa CCM madarakani mnajilisha upepo. Hata wasiposhidna kwa kura CCM wataendelea kutangazwa kuwa ni washindi na watatawala tuui. Tumieni njia mbadala kuing'oa CCM madarakani la sivyo mnapoteza muda tu.
 
Hiyo njia mbadala lazima itanguliwe na box la kura, vinginevyo utaonekana ni muahini. Wakuitoa ccm madarakani ni wananchi baada ya kupiga kura, na matokeo kupinduliwa.
 
Damu ya binadamu inapomwagwa ardhini kwa chuki humwagilia mche wa haki utakaoleta amani. Kwa aliyejaribu kuimwaga hugeuka kuwa laana na majuto maishani. Jiwe na CCM yako jifunzeni na uheshimu damu za wenye haki. Pata somo kwa Kaini. Usizidi kuvuta ghadhabu ya Mungu kwa kutamka "msema kweli ni mpenzi wa Mungu" wakati ukweli haumo ndani mwako. Utaishia kuwa Rais wa awamu moja ikifuatiwa na maombolezo yadumuyo ya kilio cha roho.
 
Mpaka sasa taarifa zake kwenye You tube peke yake zimetazamwa na watu Million 28 kwa wiki hizi tatu alizopiga kampeni.

Wamefunga vyombo vya habari mkizani dunia bado iko kwenye kusoma makaratasi na kusikiliza radio ambazo ni pro government.

Bashiru ni mweupe sana kwenye siasa kama angeongoza ccm iliyotelekezwa na dola kama kipindi cha mkwere mngekuwa na hali mbaya sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…