Uchaguzi 2020 Tundu Lissu anatumia ngekewa au kamzizi kukiangamiza CCM na kushawishi watu kumfuata?

Hivi hii hukumu ya Africa Mashariki ccm wameshatekeleza?
 

Attachments

  • Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 1
Mkuu ile hotuba ya kibondo inaweza kupelekea watu wakampiga mawe mtu.Lissu anatakiwa kuendelea kurusha haya mambo mazito
 
Big up Mkuu! Msema kweli ni mpenzi wa Mungu , kuna wanaCCM wameshikilia bango la kung'ang'ania uwongo uitwe ukweli na ukweli uitwe uwongo! Ndio maana hata Askofu Bagonza akaamua kugeuza ili kwenda sambamba bila kupoteza maana kwamba penye CHADEMA weka CCM na penye CCM weka CHADEMA! Ni kweli ulio wazi chama kilichoko ikulu kimeshachokwa hata wanaCCM wenyewe achilia mbali wapiga kura! Tunaomba Mungo akawanyong'onyeze wote na wapigwe ganzi ya fahamu wanao waza kufanya aina yoyote ya kuhujumu maamuzi halali ya wananchi!
 
Hivi hii hukumu ya Africa Mashariki ccm wameshatekeleza?
Aisee kama hiyo hukumu ni halali basi Lissu ameshashinda asubuhi na mapema! Maana katika kampeni za mwaka huu mgombea wa CCM ameshakiuka sheria na kanuni za uchaguzi mara kadha ambapo kama Lissu akishindwa kwa sababu yoyote na akaamua kwenda mahakamani kupinga ushindi wa CCM kwa kutumia hoja hizi , basi ni dhahiri Ushindi wa CCM lazima utenguliwe! Baadhi ya makosa na ukiukwaji ni pamoja na;-
1.Mgombea wa CCM kutumia cheo cha urais kutoa ahadi wakati wa kampeni
2.Mgombe wa CCM kutumia cheo cha urais kupiga simu katikati ya mkutano wa kampeni kuamuru ujenzi wa barbara uanze
3.Mgombe wa CCM kuingilia mkutano wa LIssu kule kigoma ilihali hakuwa na ratiba ya Tume ya uchaguzi
4.Mgombea wa CCM kutumia rasilimali za serikali kwa shughuli za kisiasa.
5.Serikali nzima wakiwemo wabunge ambao ni mawaziri wote na manaibu mawaziri wote wa CCM kuendelea nyadhifa zao ilihali bunge lilishavunjwa na wanatumikia nyadhifa zao kukipigia CCM kampeni huku wakitumia rasilimali za serikali.
 
spiritual
 
Ndio maana nimeuluza maana sina hakika km maccm yameshakubali kutekeleza hiyo hukumu halali au wanataka mpaka wawekewe vikwazo
@TunduALissu
 

Attachments

  • Screenshot_20200820_103832_com.android.chrome.jpg
    131.3 KB · Views: 1
Ninaona leo mmejaribu kujibu hoja ya kugawa majimbo na hoja ya vitambulisho. Lakini kule kwa mtoto wa dada kuwa Paymaster General, na Mayanga Constructions hamkugusa kabisa.
Ahaaa kuna mme mwenza ndiye mwenye tenda zote kubwa kubwa kanda ya ziwa, akilipwa na mtoto wa dada. Ufisadi huu haujapata kuwepo nchini.
 
Kule namtumbo na Dodoma na singida tuna uranium eti yote Ni ya mafisadi ya maccm yaliyoko Dar, Kama ilivyo gas ya mtwara na Lindi, au dhahabu ya shinyanga

Bila majimbo Haikubaliki
Ninachokijua mimi kuhusu chadema huwa hawakai kwenye hoja moja. Huhamahama kama nyumbu tena kwa kasi na kusahau walikotoka.

Sera mpya ni majimbo. Endeleeni nayo.
 
Uchaguzi 2020 - CHADEMA kwaheri ya kuonana. Chama kitabaki Youtube, Twitter, Facebook na Instagram
Asante kwa kuongoka
 
Kwenye TATU ongeza wafanyakazi awafikirie hata kwa kuhaidi jambo tu, wana watu wengi nyuma.
 
Naona hata chair mbowe kama Hana Raha na lissu, anahisi kabisa anapokwa uenyekiti.
 
Vyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe

Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu.
Ni vixuri ujifariji maana mateso utakayopata kuanzia tarehe 28/10 hayaelezeki na huku mgombea wenu ataanza safari za kwenda mtaa wa Bibi Titi.Stress ya kutosha kuwazeesha
 
Ni vixuri ujifariji maana mateso utakayopata kuanzia tarehe 28/10 hayaelezeki na huku mgombea wenu ataanza safari za kwenda mtaa wa Bibi Titi.Stress ya kutosha kuwazeesha
Kiongozi na ile clip ya Mwingira,kuna kitu hakipo sawa
 
Weledi wa Lissu ,hoja zake nzito za kisheria ,ujengaji hoja , umakini upeo ndio hirizi na kamzizi ka Lissu nyinyi Lumumba .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…