Jackal JF-Expert Member Joined Apr 10, 2012 Posts 9,971 Reaction score 13,608 Oct 4, 2020 #101 technically said: Vyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu. Click to expand... Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao!
technically said: Vyombo vyote vimeanza kujiandaa jamaa aapishwe Muda mfupi ujao hautamsikia Siro Wala nani wote watatulia tu. Click to expand... Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao!
Mwl.RCT JF-Expert Member Joined Jul 23, 2013 Posts 14,624 Reaction score 20,666 Oct 4, 2020 #102 Mshana Jr said: Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe. Click to expand...
Mshana Jr said: Na huu mwendo ni mpaka ikulu...hakuna majeshi wala polisi watainua silaha juu yake..ganzi itakapowaisha jamaa yuko ndani ya jumba jeupe. Click to expand...
GUSSIE JF-Expert Member Joined Dec 2, 2014 Posts 3,880 Reaction score 11,134 Jan 26, 2023 Thread starter #103 Jackal said: Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao! Click to expand... Uliona mbali sana Leo Sirro hayupo
Jackal said: Sirro ataomba msamaha astaafu kwa amani.Kina Tundu Lissu watamlipa mafao yake yote kwa wakati arudi kijijini kwao! Click to expand... Uliona mbali sana Leo Sirro hayupo