Waufukweni
JF-Expert Member
- May 16, 2024
- 2,060
- 5,648
Tundu Lissu, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara na mwanasiasa mashuhuri, amepokelewa kwa shangwe na hamasa kubwa mkoani Mara wakati wa ufunguzi rasmi wa kampeni za uchaguzi za Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa.
View: https://www.youtube.com/watch?v=U8AFvJQyIT8
View: https://www.youtube.com/watch?v=U8AFvJQyIT8