Tundu Lissu anayeshambulia Serikali worldwide kwanini bunge linamjibu countrywide? Hatuwezi kufika huko duniani kumjibu!

Endeleeni kulalama ila wenye akili zao walijua Lissu akipona atawaharibia pakubwa kwa mtu wa kawaida unaweza usione madhara ya huyu mtu moja kwa moja lakini serikali inajua na inaumia sana sema tu kukiri hawawezi.
 
Wenye akili wanaangalia ufanisi, sio kubwabwaja tu kama kupiga risasi hewani. Hit the target direct, that is economic bro. Mwache apayuke huko but target yenye ufanisi na faida ni wananchi wa Tanzania pekee
Kwa hiyo supika ambaye ameanza kujibu mapigo unamuita mpayukaji siyo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko nje kwa sasa wanajua rais wa Tanzania ni Tundu Lisu, maana ******** yeye zake ni humu humu akijitahidi sana kutoka ameenda chato hapo yeye anajiona kama vile kaenda ughaibuni.
 
CCM mtajuta kulea watu wasiojulikana maana haya ndio matokeo yake.

Ole wenu mjaribu kupeleka watu kwenye media kubwa kama hizo maana sioni kama mtamudu kujibu maswali mtakayoulizwa.
 
Mkuu acha wajiroge wathubutu kwenda.
Wana ccm hawanjui vizuri Lissu ni mtu gani ndio manaa mpaka leo kawazidi kete Wanabaki kujiuliza maswali kwanini Lisu anapendwa na Watanzania wengi??Ukweli ni kwamba ccm ilipoteza mvuto kitambo sana japokua Watanzania wengi wameichukia baada ya awamu hii Wana ccm pamoja na mleta mada wamemjua Lissu baada ya kua mbunge Ukweli ni kwamba Lissu ni mwanaharakati anayetumia juakwaa la siasa kutimiza malengo yake ya kuisambalatisha ccm Angalia karata zake mwanzo mwisho kazipanga vizuri ,Lissu aliingia kwenye siasa kupanua wigo ili kutimiza ndoto zake Tundu Lissu nampenda kwasababu vipaumbele vyake chakwanza ni kuisambalatisaha ccm wala sio kuwa Raisi wa Tanzania lakini yuko tayari kugombea Uraisi ili kutimiza malengo yake. Kubali au kataa Lissu anaenda kua Raisi wa Tanzania 2020 kisha ataongoza miaka 5 tu na kumwachia mtu mwingine atakua ametimiza ndoto zake Utakua mwisho wake kwenye sisasa atabaki mtu mwenye heshima kama Madiba kisha ataedelea na kazi yake ya uwakili , Fatilia vizuri kwaumakini tangu kaanza harakati zake ni sawa na mshabuliaji mwenye chenga nyingi na mbinu nyingi za kufunga magoli zisizo tabilika hataka kama mabeki wako makini kiasi gani Fatilia vizuri tangu kaanza harakatizake hajawai kushindwa kuanzia chaguzi mbali mbali Hoja Lissu nikama Madiba sio mwanasia typical Ni mtu makini sana anayefanya harakati zake kisayansi zaidi kumuelewa untakiwa kua na IQ kubwa sana na ni mtu asiependa uonevu na ndio ungovi wake na ccm uliko anzia.
 
Tanzania inauliwa na milengo ya kisiasa - mtu kuwa mlengo wa kushoto ni tabu vile vile kuwa mlengo wa kulia ni tabu - kaeni katikati ili mtumie taaluma zenu kwa ufasaha
 
Umewahi kumsikia Paramagamba akivunja yai........Ufipa wote mnasubiri!
Kukodoa macho sawa ila yai bado saaana. Ila umenena jambo la msingi sana ni vizuri kukawa na mtu atakayemjibu Lissu hoja kwa hoja kwenye media zilezile alizopitia. Wakianza na "the hard talk", DW etc. Nadhani nambari one mwenyewe atafaa zaidi kwa kuwa Lissu amemshutumu mambo mengi.
 
..lets be honest.

..Jiwe akienda Hardtalk ataaibika.

..angalieni interview ya Kampala halafu muone kama ataweza Hardtalk.

..wako wenye uwezo wa kuimudu Hardtalk miongoni mwao ni, Prof.Kabudi, Dr.Mahiga, Dr.Mwakyembe, January Makamba, na Dr.Migiro.

..lakini tatizo ni kwamba siyo rahisi kwenda kulielezea tukio la kushambuliwa Mh.Lissu kwa audience ya nchi za magharibi.

..haiyumkini ktk demokrasia za wenzetu Chief Whip wa upinzani akashambuliwa ktk eneo lenye ulinzi kama ilivyotokea kwa Mh.Lissu.

..pia haiyumkini maandamano ya kudai yaki yanayoongozwa na kiongozi wa upinzani yakatawanywa kwa risasi za moto na mabomu ya machozi kama ilivyotokea kwa Mh.Mbowe.

..again, siyo kwamba serekali haina wasemaji wanaoweza kuitetea huko nje, ila tatizo ni kama wana utetezi wenye mantiki na unaoweza kueleweka ktk vyombo vya habari vya kimataifa.
 
Hivi angekuwa anatumia muda wake kutembeza bakuli Kama tunavyofanya ccm,ungeandika hivi pia?
 
Watanzania wengi lugha ya malkia ni shida !! Yaani shida ! Hata professor inampa shida ! Hongera Lissu kwa kutuondolea aibu katika hardtalk , ni wachache wanaopenya katika hardtalk . Japo ulizidiwa kwa kukosa ushahidi , lugha ya malkia ilipanda . Kwenye mpira unafungwa ila unatamba kwa kupiga chenga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unataka kumuua chakubanga na Pressure yani Umkaange Hard talk si atatoka pale na kiharusi, Apo mtu sahihi wa kumjibu ni mahiga
 
Ulipokuwa unampiga risasi.ulidhani angekufa hukujua haya, serikali hii hii inazembea kumtafuta aliye mpiga risasi na uongozi huu huu ulimnyima matibabu unategemea aseme nini kuwahusu nyie mashetani wauaji. Mungu atawahukumu mtakufa mkitembea wewe mmoja wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata hivyo kwa taarifa yako halijajibu chochote zaidi ya spika kutaja stahiki zake za malipo ya mishahara ambazo kila mbunge anapata. Hajajibu madai ya kutogharimiwa matibabu, kuondolewa kwa walinzi na kamera za usalama siku aliyoshambuliwa, serikali kutochukua hatua za uchunguzi na walipoombwa waletwe wapelelezi kutoka nje serikali ilikataa? Kwanini watu waliokuwa wakivaa tshirt za kumtakia Lissu apone walikuwa wakikamatwa? Kwanini maombi yakumwombea yalikuwa yanazuiliwa?! Hakuna cha maana alichojibu Ndugai ni kama aliyetumwa maji yeye akaleta moto. Hopeless!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kwani hamuwezi kuvifungia vyombo vya huko ulimwenguni kama mnavofanya kwa KUBENEA?
 
Ukijibu maswali haya utaweza kumshambulia Lissu word wide 1.Ni zaidi ya mwaka sasa tangia shambulio la kidharimu dhidi yake lifanyike je hao wanaosemekana watu wasiojulikana mmewakamata? 2.kwanini mme kataa uchunguzi huru ni zaidi ya mwaka bado hao wasiojulikana wanaendelea kudunda 3.nini ni nyuma ya pazia kupelekea kuto mpa pesa za matibabu ambazo mbunge anasitahili kikatiba 4.km Walinzi muliwaondoa wote kwenye maeneo yote mmeshindwa kujua wa kuanza naye?
 
Wewe unataka serikali ikaombe airtime huko nje? Hizo media ziko hapa na habari zinaenda kote huko. Lissu ni mtu Mdogo sana kumfuata huko aliko ni kupoteza mda. With time atanyamaza na atakuwa mtu Wa kutupwa.
 
Wenye akili wanaangalia ufanisi, sio kubwabwaja tu kama kupiga risasi hewani. Hit the target direct, that is economic bro. Mwache apayuke huko but target yenye ufanisi na faida ni wananchi wa Tanzania pekee
Wakati yuko world travel, huku singida mashariki wapiga kura wako hivi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe unataka serikali ikaombe airtime huko nje? Hizo media ziko hapa na habari zinaenda kote huko. Lissu ni mtu Mdogo sana kumfuata huko aliko ni kupoteza mda. With time atanyamaza na atakuwa mtu Wa kutupwa.

Nyie wenyewe ndiyo mnampaisha kila siku kuna nyuzi zaidibya kumi zinaanzishwa na mazwazwa wa Lumumba kumkejeli.
 
CCM mwisho wao ni TBC tu, tena ya kiswahili, lugha ni tatizo, uongo mwingi
Hv kuongea kingereza Ndo deal kuna Watu wanaongea lugha za kimataita zaidi ya Saba pale marangu gate na hawana hata elimu ya drs LA 7.Sasa kingereza cha TunduLake cha followingi me Mara this and that Ndo mnakaa kumsifia Anajua lugha Washamba ni wengi nchi hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…