LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

LGE2024 Tundu Lissu anazungumza kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Ikungi Singida

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu.

Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,

Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea

  • Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019 kulikuwa hakuna Uchaguzi kwani Magufuli aliwafuta wapinzani wote.

  • CCM ipo madarakani kwa sababu ya polisi na vyombo vya usalama lakini ukiondoa nguvu ya kijeshi CCM isingekuwepo madarakani


View: https://www.youtube.com/watch?v=8ce4BzwRybQ&ab_channel=JAMBOTV
 
4R's ifanye kazi tu, CCM wajue kama wana wapiga kura wengi
 
Back
Top Bottom