Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu anazungumza muda huu huko mkoani Singida kuhitimisha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,
Fuatilia uzi huu kujua nini kinaendelea
Tundu Lissu amesema kuwa mara ya mwisho Tanzania kufanya Uchaguzi ilikuwa nwaka 2014 kwani mwaka 2019 kulikuwa hakuna Uchaguzi kwani Magufuli aliwafuta wapinzani wote.
CCM ipo madarakani kwa sababu ya polisi na vyombo vya usalama lakini ukiondoa nguvu ya kijeshi CCM isingekuwepo madarakani