Tundu Lissu aoneshwa gari lake lililomiminiwa risasi, ahesabu matundu ya risasi ashangaa aliponaje

Acha upotoshaji. Magu hakwenda kumuona Lissu pia Lissu hakupelekwa DAR. Aliondokea Dodoma kuelekea Nairobi. Anyway, kama wauaji na wao waliuwawa ni habari njema.
Huyo siyo lissu. Hapo ni lugalo. Walistage ilo tukio kesho yake baada ya lisu kupogwa risas huyo mbabu ni mwanausalama eti naye kapigwa risasi

Yani hukohuko tu kwa shemeji yako kabla lisu kupigwa risasi hadi basda ya kupigwa risasi
 
MTU unajitolea kusafisha na kuboresha nyumban yenu halafu anatokea mbuzi mmoja na kuanza kubwatuka eti majilani hawapendi, anaanza kupeleka majungu kuwa unaharibu vitanda na mapazia Kwa kuvufuta vumbi etc??

MTU huyo Kamata nyanyua miguu juu kichwa chini tupa nje huko hana maana.
 
Hebu ona aibu kidogo! Acha kujizima data na kujifanya mjuaji kiasi hiki
 
Magufuli alikuwa ni NDULI kabisa. Hivi ni kwa kosa gani aliwatuma akina MAKONDA na kundi la WASIOJULIKANA kutaka kumuua Lissu?

Angalia Mungu alivyo wa ajabu, Lissu bado yuko hai huku yeye Magufuli akiwa katangulia kaburini. Aendelee kuungua na moto wa jehanam huko aliko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…