Mbinguni ni patakatifu mno, kule hawaendi wala hawangii waovu kama 'shujaa wako' Magufuli, kule sio hapo Magogoni au Chamwino.
Hivi nyie Magufuli aliwalogaje??
Chukua hii:-
"Lakini waoga, WASIOAMINI, wachafu, WAUAJI, WAZINZI, WACHAWI, Waabudu Sanamu, pamoja na WAONGO WOTE, mahali pao ni katika lile ZIWA LIWAKALO MOTO NA KIBERITI. Hiyo ndio mauti ya pili". - Ufunuo 21:8
NB: Hizo nilizo bold zote ni dhambi na matendo ya Mwendazake alipokuwa pande hizi.
Ushauri: Chukua tahadhari na ujitahidi usiende motoni kama yeye.