Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
- #141
nadhani kidhibiti kikubwa ni mwili wake ambao umejeruhiwa sana , tutafukua haya mambo mbele ya safari ikibidi , kwa sasa serikali ya ccm haina mpango wa kujiumbua yenyewe mahakamaniKwa uelewa wangu wa jambo hili, ambalo inanilazimu niseme, kama Lissu mwenyewe karidhia mambo yaishe kienyeji, haliniumizi kichwa; ni kuwa kidhibiti kikiondolewa, maana yake hakuna kesi tena. Huo ndio uelewa wangu mdogo wa mambo kama haya.
Sina tatizo, kama Lissu kaamua kuchukua gari lake na kuamua kuganga yajayo.
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app