Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,857
- 121,995
Asante sana kwa taarifa, kumbe, uchunguzi wa tukio hilo umekamilika hadi PT ku relese vital evidence!. Siku zote nilidhani ni Lissu alikuwa anasubiriwa aandike maelezo ndipo uchunguzi uanze, kumbe uchunguzi imefungwa!. Niliwahi kushauri, na leo nashauri tena, WanaJF, je tuisaidie Serikali yetu inaposhindwa au tusubiri ishindwe, tuibeze na kuizomea kuwa haiwezi?amewaambiwa polisi hao kwamba siku chache zijazo atakuja kulichukua gari lake.
Kama serikali yetu imeshindwa kufanya uchunguzi, isione aibu kusema imeshindwa, watu wenye uwezo huo tupo, serikali iseme wazi imeshindwa na kutoa Rai kwa wenye uwezo wajitokeze wasaidie, watu tupo, tutajitokeza, tuta saidia.
Tena sii wengi humu wanajua, waandishi wa habari wa IJ, wana uwezo mkubwa sometimes kuliko hata polisi wetu Serious Media inaweza kuwabaini "wasiojulikana" Deo Masakilija
P