ORCA ACE
JF-Expert Member
- Jan 18, 2020
- 1,449
- 1,708
NEC wakilitolea onyo kosa la magu kuwadhihaki wanawake weusi basi unitag tafadhali
Ngoja tusubiri majibu ya NEC na CCM.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja tusubiri majibu ya NEC na CCM.
Wewe ni mbumbumbu wala hujasoma nilichoandika hapo!kimataifa Magufuli hatambuliki kama Rais wa Tanzania?Kwani sasa hivi nikienda Marekani au nchi za ulaya au Asia nikawauliza Rais wa Tanzania ni nani watajibu kuwa Tanzania haina Rais?Magufuli ni rais? Ila akiwa sehemu akatoa order ya kutekeleza kitu flani mbona mnazema ni mgombea tu na hiyo ni rushwa?...
Ila lissu we ni kiboko, kampeni zimekua tam Sana, mh jpm ebu njoo kwanza na vijembe vya kutosha kwa lissu ,uchaguzi mtam Sana huuMgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake.
My Take: Dkt. Magufuli ashauriwe, anadhalilisha wanawake
#BlackWomenMatters
View attachment 1597203
MwanaCCM umebaki pekee yako kwenye uzi huu uone aibu !jiondokeeHivi kwa akili zenu! Ni kwamba JPM alimaanisha hivyo mnavyotafsiri ninyi? Tuambieni kwenye serikali ya JPM wamejaa wanawake weupe?? Mwambieni aache viroja na kutafuta kiki kwa JPM ajikite kwenye sera !
Jpm anapenda matani Sana ila kipindi Kama hiki sio kizuri kwa matani yaliyo pitiliza timu yake yake ya kampeni wanamuhujum Sana,Vita ni Vita msimuogope kumwambia ,mwambieni kwa Sasa ni mgombea lazima afuate ushauri wa kamati ya kampeni yake vinginevyo mwafaaaaa ccmUlimi ni kiungo kidogo, madhara yake ni makubwa. Ulimi umezidi kichwa.
Huyu adhibitiwe, kauli zake haziendani na wadhifa wakeJpm anapenda matani Sana ila kipindi Kama hiki sio kizuri kwa matani yaliyo pitiliza timu yake yake ya kampeni wanamuhujum Sana,Vita ni Vita msimuogope kumwambia ,mwambieni kwa Sasa ni mgombea lazima afuate ushauri wa kamati ya kampeni yake vinginevyo mwafaaaaa ccm
Sugu nisugue..... Kudadadeki no easy task.Ila lissu we ni kiboko, kampeni zimekua tam Sana, mh jpm ebu njoo kwanza na vijembe vya kutosha kwa lissu ,uchaguzi mtam Sana huu
anakaweupe kake pengine ambako hatukajui maana mkulu anamsikiliza sana.Mbeya msimpe kura Tulia, hatosikilizwa na boss wake kwa ajili ya rangi yake kama lami.
@Sky Eclat nitumie namba za huyo black beauty nimempenda. Hakika tarehe 28 sisi weusi tuliodhalilisha tutampiga chini huyo jiwe.View attachment 1597224
28/10 2020 wanawake weusi tuna jambo letu
MY TAKE: Hana hoja hivyo anasubiri MATUKIO NA MATOKEO ayazungumzie kwani kwa sasa Lissu ni MUFLISI!Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake.
My Take: Dkt. Magufuli ashauriwe, anadhalilisha Wanawake
#BlackWomenMatters
Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake.
My Take: Dkt. Magufuli ashauriwe, anadhalilisha Wanawake
#BlackWomenMatters
Huyu Tundu toka arudi kutoka ubelgiji inaonesha ana washwa washwa, na huku hakuna mkunaji.Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake.
My Take: Dkt. Magufuli ashauriwe, anadhalilisha Wanawake
#BlackWomenMatters
Nchi zinazoongea kiingereza ulaya ni mbili tu UK na Ireland.Lugha
View attachment 1597224
28/10 2020 wanawake weusi tuna jambo letu
Point. Menejs ya kampeni na Katibu wa chama chake take note. Toka adhalilidhe wanawake weusi tumbo.lilivurugika. Mke wangu atakuwa na jambo tarehe 28 na familia itamuunga mkono.# Black Women Matters.