Dr Akili
JF-Expert Member
- Aug 21, 2011
- 5,119
- 4,569
Huyu Tundu Lissu hao wazungu wameshamfanyia mbaya. Ukitazama vizuri zile video alipokuwa kwenye bus la mwendo kasi utagundua ninachokimaanisha. Hana uwezo tena wa kukutanisha macho yake na macho ya mwanamke. Wazungu wanasema 'He cannot make eye contact with a person of the opposite sex'. Eye contact ni kitu muhimu sana unapoongea na mwenzako especially in a friendly talk between persons opposite gender. Kwenye hiyo video utaona kuwa hako ka Ms Lemma kalijitahidi sana ku make eye contact naye lakini jemba ikawa inashindwa kabisa kufanya hivyo - ikawa inayakwepa kabisa macho hayo, inaangalia pembeni au chini nk. This in phschology it is known as heterophobia! Lakini njemba hii kwa kuwakodolea macho wanaume wenzake na hasa polisi wa kiume ni hodari sana! This in phschology is known as homophilia!
Rais wetu hayuko hivyo. Yeye anadumisha mila zetu za kitanzania ambazo baadhi yake ni kuwa:
1. Wanaume ni watani wa jadi wa wanawake na wanaishi kwa kufurahiana na kutaniana. Na hili haliwezekanani bila kuwapo kwa eye contact.
2. Bibi na mjukuu wake wa kiume ni mke na mume wa utani wa jadi zetu. Vivyo hivyo kwa babu na mjukuu wake wa kike. Wataitanq mume, mke au mchumba wangu lakini ni utani tu wa jadi. Hauendi zaidi ya hapo.
3. Kwa utamaduni wa wasukuma na makabila mengi ya kitanzania ni utamaduni kuwasifia wanawake weupe. Kila mtu anajua hivyo ingawa wanajua kuwa ni utani tu wa jadi. Anaitwa cheupe. Ukienda kuoa usukumani wakati wa kujadili mahari kama binti yao ni cheupe watakuambia uongeze idadi ya ng'ombe wa mahari kwa sababu binti ni mweupe usiku hulazimiki kuwasha taa. Huo ni utani wao tu wa jadi na kama wewe ni zuzu utaongeza kweli hiyo mahali kwa sababu hiyo ya weupe! Wewe utakuwa ni zuzu tu, kwanza wasukuma wengi ni weusi tii na hawabaguani kwa rangi. Bahati mbaya mabinti wengi wa kitanzania siku hizi wanaji cream na kujichubua rangi kwa madawa ili waonekane weupe ili wasukuma wawapende. Hii ni uzuzu tu na ni hatari kwa afya yao.
4. Mgombea wetu ni mwanasayansi na ni mwalimu. Anajua vizuri human behavior science. Kwenye hizo kampeni za kutafuta kura audience yake wengi hasa ni vijana, na ndiyo wapiga kura walio wengi. Anajuwa ni lugha gani (scientifically) ili ku draw attention ya audience yake. Atatumia lugha na utani wa jadi ili kuwa nao hawo wanamsikiliza na kufurahi nao. Akina Amstedam kwa sababu siyo utamaduni wao watafikiri anawadhalilisha watanzania. Watataka wakamshitaki kwenye mahakama za kwao! Ni mazuzu tu. Sisi ndiyo tutawashitaki mahakamani kwa kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu.
Eti kadhalilisha wanawake weusi wakati anayesema hivyo hawezi ku make eye contact na mwanadada ye yote rijali. Huyo aliyemuzia jogoo ni umri wa mtoto wake, hivyo kuambiwa aje amchukue bibi yake amuone, badala ya kuona kuwa ni utani wa jadi, jemba imeona ndiyo ajenda ya ilani ya kusaka kura. Kwanza bibi yetu yu ICU kwa muda mrefu, ni kipindi kigumu sana kwa mgombea wetu kufanya hizi kampeni huku akiuuguza mama yake mpenzi. Anapaswa kuombewa kwa Mungu ili apate nguvu ya kufanya yote haya.