Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Aongelea suala la Magufuli kuwazungumzia Wanawake

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Aongelea suala la Magufuli kuwazungumzia Wanawake

Anza na kumwambia pole pole akiwa kwenye press zake aongee mambo ya ccm tu
Polepole hata akiwa peke yake bafuni humuimba Lisu kapagawa juu ya Lisu tokea ale njama za kumuua kwa kumtuma Bashite kwenda Dodoma akafeli kumuua, hii humchanganya
 
Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi
 
Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi
Mjomba hakuwa amejiandaa kwa kampeni hizi. Alitegemea ni yale wateuzi wake waliyomdanganya kuwa mzee kazi umeimaliza subiri kuapushwa.
 
20201010_221304.jpg
20201010_221304.jpgNa wanawake weusi tuna haki
 
Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi
Mjomba hakuwa amejiandaa kwa kampeni hizi. Alitegemea ni yale ware uzi wake waliyomdanganya kuwa mzee kazi umeimaliza subiri kuapushwa.
Magufuli akishinda huu uchaguzi itakuwa ni ajabu la nane la dunia.
 
Ila lissu amejijengea legacy kubwa Sana duniani. Bila lisu kampeni hazinogi

Magufuli akishinda huu uchaguzi itakuwa ni ajabu la nane la dunia.
CCM wanatulazimisha turudi kwenye stone age wakati tumeshaiona njia ya digital era.
 
Uongozi wa jamiiforums unachuja maudhui yetu. Ukituma post unakuja ujumbe wenye maandishi mekundu.
 
Hivi kwa akili zenu! Ni kwamba JPM alimaanisha hivyo mnavyotafsiri ninyi? Tuambieni kwenye serikali ya JPM wamejaa wanawake weupe?? Mwambieni aache viroja na kutafuta kiki kwa JPM ajikite kwenye sera !
Kiki kivipi? Acha ushamba wako Ubaguzi wa magufuli na kiki wapi na wapi?
 
Mlio karibu na rais mtarajiwa Lissu, mkumbusheni azingatie kuomba kura za wana CCM na vyama vingine

Pia nampongeza Mh. Lissu kwa kuweza kum-adress rais kwa staha zaidi

*kura za wana CCM, ACT na vyama vyote, dini zote, kura za askari, watumishi na zaidi KURA ZA WANAWAKE wote WEUSI
Point. Menejs ya kampeni na Katibu wa chama chake take note. Toka adhalilidhe wanawake weusi tumbo.lilivurugika. Mke wangu atakuwa na jambo tarehe 28 na familia itamuunga mkono.# Black Women Matters.
 
Ni utani tu?!Magufuli siyo raia wa kawaida.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha Watanzania walivyo.

Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga nchi zaidi na siyo vimelea vya kubomoa nchi na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.
Mda huu wa kampeni hakuna utani wa kishamba shamba namna hiyo
 
Huenda anazungumzia kwa utani maana wasukuma na wazaramo watu wa pwani ni watani, na matamko yote aliyatoa akiwa mikoa ya ukanda wa Pwani, ni utani utamaduni wetu wa tz
Utani wa kishamba shamba kipindi hik hauna nafasi
 
JPM anaamini katika uzuri tena weupe, hata malikia Ester alienda kwa mfalme akiwa wakupendeza Sasa janamke jeusi ti Kama mkaa na bayaa hata likija kuomba kitu unajiuliza kwanini halijaishia ngazi za chini huko? Haaa! Nipo natania tu.
#BlackWomenMatters#October28
 
Back
Top Bottom