Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kama alikuwa hamaanishi hivyo alikuwa anaropoka basi! Sasa unaona ni jambo jema kuropoka ropoka kila wakati akisimama jukwaani?Hivi kwa akili zenu! Ni kwamba JPM alimaanisha hivyo mnavyotafsiri ninyi? Tuambieni kwenye serikali ya JPM wamejaa wanawake weupe?? Mwambieni aache viroja na kutafuta kiki kwa JPM ajikite kwenye sera !
Kama akili yako inaona sawa basi wewe utakuwa ni tatizo kuliko hata yeye