Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Aongelea suala la Magufuli kuwazungumzia Wanawake

Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Aongelea suala la Magufuli kuwazungumzia Wanawake

Mlio karibu na rais mtarajiwa Lissu, mkumbusheni azingatie kuomba kura za wana CCM na vyama vingine.

Pia nampongeza Mh. Lissu kwa kuweza kum-adress rais kwa staha zaidi.

*kura za wana CCM, ACT na vyama vyote, dini zote, kura za askari, watumishi na zaidi KURA ZA WANAWAKE wote WEUSI.
 
Porojo zip chief.?
Hivi kwa akili zenu! Ni kwamba JPM alimaanisha hivyo mnavyotafsiri ninyi? Tuambieni kwenye serikali ya JPM wamejaa wanawake weupe?? Mwambieni aache viroja na kutafuta kiki kwa JPM ajikite kwenye sera !
 
Ni wajinga wachache tu wataibeba hiyo kama hoja ya maendeleo, sawa na ku sympathize .
Weka sera konki bro acha mipasho, kama vipi uimbe taarabu ijulikane
 
Simjibii!, ila ni kwa sababu namjua ! Ule ni utani tu na hajaanza leo! em nijibu hili swali ! Kwenye serikali ya JPM kuna wanawake weupe tu?.
Ni utani tu?!Magufuli siyo raia wa kawaida.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha Watanzania walivyo.

Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga nchi zaidi na siyo vimelea vya kubomoa nchi na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.
 
Maelezo mareefu ! Unafikili sijui hayo! Naomba unijibu hilo swali nililouliza kwanza!.
 
Kwa hakika wanawake weupe waungeninmkono wenzenu weusi tar28
 
Back
Top Bottom