Uchaguzi 2020 Tundu Lissu: Aongelea suala la Magufuli kuwazungumzia Wanawake

Huyu Tundu Lissu hao wazungu wameshamfanyia mbaya. Ukitazama vizuri zile video alipokuwa kwenye bus la mwendo kasi utagundua ninachokimaanisha. Hana uwezo tena wa kukutanisha macho yake na macho ya mwanamke. Wazungu wanasema 'He cannot make eye contact with a person of the opposite sex'. Eye contact ni kitu muhimu sana unapoongea na mwenzako especially in a friendly talk between persons opposite gender. Kwenye hiyo video utaona kuwa hako ka Ms Lemma kalijitahidi sana ku make eye contact naye lakini jemba ikawa inashindwa kabisa kufanya hivyo - ikawa inayakwepa kabisa macho hayo, inaangalia pembeni au chini nk. This in phschology it is known as heterophobia! Lakini njemba hii kwa kuwakodolea macho wanaume wenzake na hasa polisi wa kiume ni hodari sana! This in phschology is known as homophilia!

Rais wetu hayuko hivyo. Yeye anadumisha mila zetu za kitanzania ambazo baadhi yake ni kuwa:
1. Wanaume ni watani wa jadi wa wanawake na wanaishi kwa kufurahiana na kutaniana. Na hili haliwezekanani bila kuwapo kwa eye contact.
2. Bibi na mjukuu wake wa kiume ni mke na mume wa utani wa jadi zetu. Vivyo hivyo kwa babu na mjukuu wake wa kike. Wataitanq mume, mke au mchumba wangu lakini ni utani tu wa jadi. Hauendi zaidi ya hapo.
3. Kwa utamaduni wa wasukuma na makabila mengi ya kitanzania ni utamaduni kuwasifia wanawake weupe. Kila mtu anajua hivyo ingawa wanajua kuwa ni utani tu wa jadi. Anaitwa cheupe. Ukienda kuoa usukumani wakati wa kujadili mahari kama binti yao ni cheupe watakuambia uongeze idadi ya ng'ombe wa mahari kwa sababu binti ni mweupe usiku hulazimiki kuwasha taa. Huo ni utani wao tu wa jadi na kama wewe ni zuzu utaongeza kweli hiyo mahali kwa sababu hiyo ya weupe! Wewe utakuwa ni zuzu tu, kwanza wasukuma wengi ni weusi tii na hawabaguani kwa rangi. Bahati mbaya mabinti wengi wa kitanzania siku hizi wanaji cream na kujichubua rangi kwa madawa ili waonekane weupe ili wasukuma wawapende. Hii ni uzuzu tu na ni hatari kwa afya yao.
4. Mgombea wetu ni mwanasayansi na ni mwalimu. Anajua vizuri human behavior science. Kwenye hizo kampeni za kutafuta kura audience yake wengi hasa ni vijana, na ndiyo wapiga kura walio wengi. Anajuwa ni lugha gani (scientifically) ili ku draw attention ya audience yake. Atatumia lugha na utani wa jadi ili kuwa nao hawo wanamsikiliza na kufurahi nao. Akina Amstedam kwa sababu siyo utamaduni wao watafikiri anawadhalilisha watanzania. Watataka wakamshitaki kwenye mahakama za kwao! Ni mazuzu tu. Sisi ndiyo tutawashitaki mahakamani kwa kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu.

Eti kadhalilisha wanawake weusi wakati anayesema hivyo hawezi ku make eye contact na mwanadada ye yote rijali. Huyo aliyemuzia jogoo ni umri wa mtoto wake, hivyo kuambiwa aje amchukue bibi yake amuone, badala ya kuona kuwa ni utani wa jadi, jemba imeona ndiyo ajenda ya ilani ya kusaka kura. Kwanza bibi yetu yu ICU kwa muda mrefu, ni kipindi kigumu sana kwa mgombea wetu kufanya hizi kampeni huku akiuuguza mama yake mpenzi. Anapaswa kuombewa kwa Mungu ili apate nguvu ya kufanya yote haya.

Mbeya nadhani wamesimia wakichagua vibaya imekula kwao afadhali wamrudishe sugu huyohuyo
 
Alaa kumbe!
 
Mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania, kupitia CHADEMA, Tundu Lissu, akizungumzia tukio la mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano kupitia CCM, Dkt Magufuli juu ya kauli zake kuhusu wanawake.

My Take: Dkt. Magufuli ashauriwe, anadhalilisha wanawake

#BlackWomenMatters

View attachment 1597203

Huyu ni jamaa wa barabarani tu (street person). Hayupo rais wa hivi.

Inabidi kutumia nguvu nyingi sana kutouona ukweli huu kuhusiana na mgombea yule.

Disgusting!
 
Huyu Tundu Lissu hao wazungu wameshamfanyia mbaya. Ukitazama vizuri zile video alipokuwa kwenye bus la mwendo kasi utagundua ninachokimaanisha. Hana uwezo tena wa kukutanisha macho yake na macho ya mwanamke. Wazungu wanasema 'He cannot make eye contact with a person of the opposite sex'. Eye contact ni kitu muhimu sana unapoongea na mwenzako especially in a friendly talk between persons opposite gender. Kwenye hiyo video utaona kuwa hako ka Ms Lemma kalijitahidi sana ku make eye contact naye lakini jemba ikawa inashindwa kabisa kufanya hivyo - ikawa inayakwepa kabisa macho hayo, inaangalia pembeni au chini nk. This in phschology it is known as heterophobia! Lakini njemba hii kwa kuwakodolea macho wanaume wenzake na hasa polisi wa kiume ni hodari sana! This in phschology is known as homophilia!

Rais wetu hayuko hivyo. Yeye anadumisha mila zetu za kitanzania ambazo baadhi yake ni kuwa:
1. Wanaume ni watani wa jadi wa wanawake na wanaishi kwa kufurahiana na kutaniana. Na hili haliwezekanani bila kuwapo kwa eye contact.
2. Bibi na mjukuu wake wa kiume ni mke na mume wa utani wa jadi zetu. Vivyo hivyo kwa babu na mjukuu wake wa kike. Wataitanq mume, mke au mchumba wangu lakini ni utani tu wa jadi. Hauendi zaidi ya hapo.
3. Kwa utamaduni wa wasukuma na makabila mengi ya kitanzania ni utamaduni kuwasifia wanawake weupe. Kila mtu anajua hivyo ingawa wanajua kuwa ni utani tu wa jadi. Anaitwa cheupe. Ukienda kuoa usukumani wakati wa kujadili mahari kama binti yao ni cheupe watakuambia uongeze idadi ya ng'ombe wa mahari kwa sababu binti ni mweupe usiku hulazimiki kuwasha taa. Huo ni utani wao tu wa jadi na kama wewe ni zuzu utaongeza kweli hiyo mahali kwa sababu hiyo ya weupe! Wewe utakuwa ni zuzu tu, kwanza wasukuma wengi ni weusi tii na hawabaguani kwa rangi. Bahati mbaya mabinti wengi wa kitanzania siku hizi wanaji cream na kujichubua rangi kwa madawa ili waonekane weupe ili wasukuma wawapende. Hii ni uzuzu tu na ni hatari kwa afya yao.
4. Mgombea wetu ni mwanasayansi na ni mwalimu. Anajua vizuri human behavior science. Kwenye hizo kampeni za kutafuta kura audience yake wengi hasa ni vijana, na ndiyo wapiga kura walio wengi. Anajuwa ni lugha gani (scientifically) ili ku draw attention ya audience yake. Atatumia lugha na utani wa jadi ili kuwa nao hawo wanamsikiliza na kufurahi nao. Akina Amstedam kwa sababu siyo utamaduni wao watafikiri anawadhalilisha watanzania. Watataka wakamshitaki kwenye mahakama za kwao! Ni mazuzu tu. Sisi ndiyo tutawashitaki mahakamani kwa kuingilia uchaguzi mkuu wa nchi yetu.

Eti kadhalilisha wanawake weusi wakati anayesema hivyo hawezi ku make eye contact na mwanadada ye yote rijali. Huyo aliyemuzia jogoo ni umri wa mtoto wake, hivyo kuambiwa aje amchukue bibi yake amuone, badala ya kuona kuwa ni utani wa jadi, jemba imeona ndiyo ajenda ya ilani ya kusaka kura. Kwanza bibi yetu yu ICU kwa muda mrefu, ni kipindi kigumu sana kwa mgombea wetu kufanya hizi kampeni huku akiuuguza mama yake mpenzi. Anapaswa kuombewa kwa Mungu ili apate nguvu ya kufanya yote haya.

Nadhani ni rahisi zaidi kumshauri JPM aachane na mizaha isiyo na tija hasa kipindi hiki kuliko kujiribu kubadilisha upepo na kimsingi kutufanya wapumbafu.

Nyie wasukuma mnaweza kuwatania hadi Mama zenu au kuwatafutia Mama zenu wanaume wa kuwaoa? Kama mna utani wa Aina hiyo basi hamna adabu, Sasa ngoja mfundishwe adabu.
 
Ni utani tu?!Magufuli siyo raia wa kawaida.Magufuli ni Rais wa nchi.Kila analofanya na kuongea linafuatiliwa dunia nzima na watu tofauti tofauti pamoja na mashirika tofauti tofauti na kutafsiriwa tofauti tofauti kwa namna yake yenye athari kwa nchi yetu ya Tanzania.Kila analofanya na kuongea linawakilisha Watanzania walivyo.

Utani wa Rais unatakiwa kuwa tofauti na utani wa mtu wa kawaida.Utani wa Rais unatakiwa kuwa na vimelea vya kujenga nchi zaidi na siyo vimelea vya kubomoa nchi na ubaguzi.Magufuli pamoja na ninyi watu wake hamuyajui yote hayo.Magufuli hajui yote hayo kwa sababu ni country bumpkin.
Magufuli ni rais? Ila akiwa sehemu akatoa order ya kutekeleza kitu flani mbona mnazema ni mgombea tu na hiyo ni rushwa?

Homa ya JPM itawapeleka puta,

Yani chadema ni wajinga sana! Mmekomaa na vitu vya kipumbavu eti ubaguzi mara hajui kingereza,. Yani kabisa mtu na akili zako unakuja hapa na kusema kwa kauli ile Magu anabagua wanawake?

Subiri mpigwe mbele na nyuma baada ya tarehe 28 tutawakumbusha hizi hoja zenu mlizokomaa nazo.
 
cheusi mangala usibadili mwendo huo mangalae Binti AFRICA ......KILA NINAPOKUWA SAFARINI NINA NAHODHA NAHODHA WANGU NI WEWE MAWIMBI KUYATAKA CHOMBO CHETU KIENDESHE TUPATE FIKA SALAMA
 
Polepole anakazi kubwa Sana ya kusafisha uchafu unaotamkwa na magufuli na sijui atafanya kazi ya kuita waandishi wa habari mpaka lini!!
 
Back
Top Bottom