Tupia picha za Mwanza please! Usalama wake ukoje, this is my most concern!Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500
Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.
Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!
Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geitawadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
Mnakwenda CHATO? "Punguza sauti kidogo"Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500
Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.
Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!
Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Ishu si idadi ya watu, ishu ni mikoa 10. This is the rule! hata akapata milioni, say 20 mkoa mmoja (hakuna wenye idadi hiyo anyway) , bado sheria inamtaka apite mkoa 10 na kupata wadhamini kila mkoa.Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
tukitoka huko tunaenda chato!hapo kazi tuuShinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500
Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.
Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!
Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Ndio maana nimemjibu jamaa hapo juu anayesema Magu anaweza kupata wadhamini 2000 Mkoa mmoja as if Lissu hawezi pata wadhamini 2000 mkoa mmoja! Hata Spunda anaweza pata wadhamini 2000 mkoa mmojaIshu si idadi ya watu, ishu ni mikoa 10. This is the rule! hata akapata milioni, say 20 mkoa mmoja (hakuna wenye idadi hiyo anyway) , bado sheria inamtaka apite mkoa 10 na kupata wadhamini kila mkoa.
Sheria inamtaka apate angalau wadhami 200 kwa mikoa kumi. Jumla ya wadhamini kwa mikoa yote kumi isipungue 2000! Hata angepata wadhamini 2000 "mkoa mmoja" tu bado atakuwa hajakidhi vigezo. Hao 485 wa Shinyanga wamezidi sababu hawahitajiki wote, watahitajika angalau 200 tu kwa mkoa wa Shinyanga!!Tundu anashindwa kupata wadhamini 2000 kwenye mkoa mmoja? Hiyo ziara ya kutafuta wadhamini imepangwa kimkakati, angalia hiyo mikoa anayotembelea and jiulize kwa nini? Kuanzia Dodoma, Singida, Shinyanga, Mwanza and Geita
Na kweli bwana, maana CCM kwanza "tumesema" ni kitanda kwa kitanda mwaka huu.wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
wadhamini 485 mbona ni wa kawaida sana aisee, jpm wadhamini 2000 wote akiamua kuwapata kwenye mkoa mmoja tu anawapata.
Na fulaoverNa kweli bwana, maana CCM kwanza "tumesema" ni kitanda kwa kitanda mwaka huu.
View attachment 1534804
Tupia picha za Mwanza please! Usalama wake ukoje, this is my most concern!
Kitu kibaya kinacho imaliza hii nchi ni unafiki... Appreciate pale kizuri kinapo fanyika hakuna binadamu asiye na mabaya.... Arusha mjini imejengwa hospitali mpya ya wilaya njiro.. longido pia imejemgwa hospitali mpya na kata ya murieti ninapoishi kuna kituo cha afya kikubwa tuu na kinafanya kazi....Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500
Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.
Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!
Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Wakifika tu pale Bwanga wataulizwa vibaliNasubiri feedback kutoka Chato kwa mfalme wa wafalme!