Uchaguzi 2020 Tundu Lissu apata wadhamini 485 Shinyanga

Kitu kibaya kinacho imaliza hii nchi ni unafiki... Appreciate pale kizuri kinapo fanyika hakuna binadamu asiye na mabaya.... Arusha mjini imejengwa hospitali mpya ya wilaya njiro.. longido pia imejemgwa hospitali mpya na kata ya murieti ninapoishi kuna kituo cha afya kikubwa tuu na kinafanya kazi....
Kodi za Wananchi
 
As long as unafanya hayo kwa kuua watu, at the cost of people's lives, all done go down the trench!!
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Unataka kumaanisha Hai au Mbeya mjini. CCM hawako?
 
Shinyanga imetuma ujumbe kwa wale wanaosema "Kazi za JPM zinaonekana" aka wazee wa Zahanati 500

Shinyanga hatukuwahi kufanya mikutano kama ambavyo mshua alikuwa amepageuza njia ya kwenda na kutokea Chato daily.

Tumepata wadhamini 500 sawa na idadi ya zile zahanati hewa. Teh teh teh zahanati 500!

Tupo njiani kwenda Mwanza na Mara. Mwanza inasimama leo na tukitoka huko tunaenda chato!
Hahahahaha sisi tulidhani 4000 kumbe 450, mbona huo ni udhamini wa level ya mbunge tu, poleni hiyo ndiyo SHY TOWN ina wenyewe. Na kama mngeenda vijijini mngeishia wadhamini 40-45 tu
 
Msisahau kutembelea Burigi mkuu, mkaone maajabu ya Simba na Twiga waliosombwa kwa malori. Na ile sanamu ya ajabu ya Mwalimu Nyerere muipige picha.
Ulishafika kwenye haka kapori lakini? Sina uhakika kama kana hadhi ya kuitwa hata "mbuga"
 
Unafiki ni mbaya sana ... Burigi national previously burigi game reserve ina square kilometer 2200 mara hata saba ya manyara lake national... Na ilikuwa na wanyama kabla hata ya translocation... Fikiri kidogo tuu hayo simba wanaenda kula majani kama hapakuwa na wild animal before
 
Back
Top Bottom